Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Hivi huyo msabato alienda kanisani jumamosi ambayo ndo TLS inafanya uchaguzi?
Wakili Wasonga si yeye anayekwenda mahakamani kwa matakwa yake bali yeye anatangulizwa mbele kama deki remote iko nyuma.Wakili Wasonga aliyeomba uchaguzi wa TLS usogezwe mbele amesema ataenda tena mahakani lkn wakati huu akienda kupinga matokeo ambayo yamempitisha Tundu Lissu kuwa rais wa TLS, hayo aliyasema baada ya mahojiano na mwandishi wa gazeti la Majira.
"yes,ninabuild up kesi ,kila mtu alishuhudia utaratibu ulivyokiukwa, hujuma zilivyodhofisha uchaguzi, unafikiri nisipoenda mahakamani mimi wakili nani ataenda?
-----
Swali: Huyu jamaa ana matatizo gani,hivi huyu na yeye ni wakili msomi?
Ahh haaahaaWakili Wasonga si yeye anayekwenda mahakamani kwa matakwa yake bali yeye anatangulizwa mbele kama deki remote iko nyuma.
Wakili Wasonga aliyeomba uchaguzi wa TLS usogezwe mbele amesema ataenda tena mahakani lkn wakati huu akienda kupinga matokeo ambayo yamempitisha Tundu Lissu kuwa rais wa TLS, hayo aliyasema baada ya mahojiano na mwandishi wa gazeti la Majira.
"yes,ninabuild up kesi ,kila mtu alishuhudia utaratibu ulivyokiukwa, hujuma zilivyodhofisha uchaguzi, unafikiri nisipoenda mahakamani mimi wakili nani ataenda?
-----
Swali: Huyu jamaa ana matatizo gani,hivi huyu na yeye ni wakili msomi?
Hapana, huyu si Wakili Msomi bali ni "wakili mgonjwa"
Ni kweli ni mchumia tumbo, ashindwe kwa majina yote yanayo mwakilisha Mungu DunianiJibu: Ndiyo ni Wakili Msomi kwa sababu kahitimu vema, ila kashindwa tu kudhibiti hisia za tumbo lake zisimuendeshe. Ametumwa kufanikisha hayo.
Wakili Wasonga aliyeomba uchaguzi wa TLS usogezwe mbele amesema ataenda tena mahakani lkn wakati huu akienda kupinga matokeo ambayo yamempitisha Tundu Lissu kuwa rais wa TLS, hayo aliyasema baada ya mahojiano na mwandishi wa gazeti la Majira.
"yes,ninabuild up kesi ,kila mtu alishuhudia utaratibu ulivyokiukwa, hujuma zilivyodhofisha uchaguzi, unafikiri nisipoenda mahakamani mimi wakili nani ataenda?
-----
Swali: Huyu jamaa ana matatizo gani,hivi huyu na yeye ni wakili msomi?
Bashite aonyeshe vyeti........Uchaguzi umekwisha Lisu kidedea.