hivi kukojolea quran na kuchoma kanisa kipi bora!!!!?
ubora wa namna gani,,,,nawe unauliza kama umetoka KUNYA,,,,,,!!!!!WEWE KWA AKILI YAKO UNADHAN KUNA UBORA KATI YA HAYO???
hivi kukojolea quran na kuchoma kanisa kipi bora!!!!?
Adui wa Usilamu namba moja hapa Tz ni huyohuyo Ponda, vuvuzela ya Magamba
naomba uhifadh hii kauli yako,,,usiinyofoe,,,,ili usije kuikana,,,,,
ila nakuuliza tu wakristu wote wamesoma??,hakuna wezi?,hakuna majambaz,hakuna wahuni????
Ukishindwa kuwataja niambie nikutajie public figures za wakristo wenye sifa hizo,,,,,nikianza na mapadri wanaowakaza WATOTO
Ni obvious, wala uitaji Phd kufahamu kuna wakristo pia majambazi...na ndio maana nasema waislamu wanaofanya fujo, sijasema kuwa waislamu wote. Na kuna wakristo pia wezi na majambazi sikatai.
bora umeikana kauli yako,,,maana kwenye post yako uligeneralize,,,,take care usdhan ww ndo unayejua humu,,,,
naomba uhifadh hii kauli yako,,,usiinyofoe,,,,ili usije kuikana,,,,,
ila nakuuliza tu wakristu wote wamesoma??,hakuna wezi?,hakuna majambaz,hakuna wahuni????
Ukishindwa kuwataja niambie nikutajie public figures za wakristo wenye sifa hizo,,,,,nikianza na mapadri wanaowakaza WATOTO
Nimewasikiliza waislam mara nyingi. Kwa muislam haruhusiwi kunyamazia maneno eti kwa sababu yanapingana na mitazamo ya dini nyingine. Kwani kwenye ukristo lipo hili? Tuseme ukweli kuwa ingawa wapo waislam wanaoishi kinyume na uislam unavyotaka lakini wenzetu wametuzidi katika kufuata maandiko. Mengine yako kwenye biblia lakini tumeyapa mgongo. Mfano Biblia inataja sifa za mungu kuwa halali, hasinzii, hali chakula nk nasi tunajua Bwana Yesu alikuwa akilala, akila chakula, akisinzia nk lakini bado kuna wanaomuita Mungu, tena viongozi kabisa wa Makanisa. Hapa muislam akiongea maandiko yake yanayotoa maelezo kama hayo ya biblia ila yeye akayafuata, utasema ametukashifu?ni kweli ni wastaarabu ndio maana wana sema Yesu si mwana wa Mungu wakati aya hizo hazipo kwenye vitabu vyao, ni wastaarabu ndio maana wa choma makanisa ili wao wapate wafuasi zaidi
ni kweli ni wastaarabu ndio maana wana sema yesu si mwana wa mungu wakati aya hizo hazipo kwenye vitabu vyao, ni wastaarabu ndio maana wa choma makanisa ili wao wapate wafuasi zaidi
Kweli kabisa mkuu na wala haipatikani kwa kukojolea vitabu vya dini nyingine
wanasema yesu si mungu kwa kuwa mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hii inathibitishwa katika quran,
"sema mumgu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa, na hafananishwi na kitu chochote"
sasa hapa wamepinga nn?
1 Timothy 2:5 hapa Bwana Yesu anajinadi kwamba yeye ni mtu.
Nimewasikiliza waislam mara nyingi. Kwa muislam haruhusiwi kunyamazia maneno eti kwa sababu yanapingana na mitazamo ya dini nyingine. Kwani kwenye ukristo lipo hili? Tuseme ukweli kuwa ingawa wapo waislam wanaoishi kinyume na uislam unavyotaka lakini wenzetu wametuzidi katika kufuata maandiko. Mengine yako kwenye biblia lakini tumeyapa mgongo. Mfano Biblia inataja sifa za mungu kuwa halali, hasinzii, hali chakula nk nasi tunajua Bwana Yesu alikuwa akilala, akila chakula, akisinzia nk lakini bado kuna wanaomuita Mungu, tena viongozi kabisa wa Makanisa. Hapa muislam akiongea maandiko yake yanayotoa maelezo kama hayo ya biblia ila yeye akayafuata, utasema ametukashifu?