WAKILI WA PONDA - Brother Juma Nassoro AWAUSIA WAISLAM

naomba uhifadh hii kauli yako,,,usiinyofoe,,,,ili usije kuikana,,,,,
ila nakuuliza tu wakristu wote wamesoma??,hakuna wezi?,hakuna majambaz,hakuna wahuni????
Ukishindwa kuwataja niambie nikutajie public figures za wakristo wenye sifa hizo,,,,,nikianza na mapadri wanaowakaza WATOTO

Ni obvious, wala uitaji Phd kufahamu kuna wakristo pia majambazi...na ndio maana nasema waislamu wanaofanya fujo, sijasema kuwa waislamu wote. Na kuna wakristo pia wezi na majambazi sikatai.
 
bora umeikana kauli yako,,,maana kwenye post yako uligeneralize,,,,take care usdhan ww ndo unayejua humu,,,,
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha...jaribu kuwa na akili za kuchambua na kusoma ukaelwa mkuu...yani mbona wewe mweupe sana kichwani? ebu soma post yangu ya awali kama nili-generaliza kama unavyodai...yani kama hata uandishi wa kawaida hivi unakusumbua kuelewa, falsafa za akina Plato at el utaelewa kweli?
 
naomba uhifadh hii kauli yako,,,usiinyofoe,,,,ili usije kuikana,,,,,
ila nakuuliza tu wakristu wote wamesoma??,hakuna wezi?,hakuna majambaz,hakuna wahuni????
Ukishindwa kuwataja niambie nikutajie public figures za wakristo wenye sifa hizo,,,,,nikianza na mapadri wanaowakaza WATOTO

Unahangaika sana kutetea uhuni wa vibaka wa Mbagala walioiba hadi bahasha za 'ahadi' wakidhani kuna fedha ndani.
Fanya reseach ndogo, jela na magereza zimejaza wengi wepi kati ya Wakristo na wasilamu
 
ni kweli ni wastaarabu ndio maana wana sema Yesu si mwana wa Mungu wakati aya hizo hazipo kwenye vitabu vyao, ni wastaarabu ndio maana wa choma makanisa ili wao wapate wafuasi zaidi
Nimewasikiliza waislam mara nyingi. Kwa muislam haruhusiwi kunyamazia maneno eti kwa sababu yanapingana na mitazamo ya dini nyingine. Kwani kwenye ukristo lipo hili? Tuseme ukweli kuwa ingawa wapo waislam wanaoishi kinyume na uislam unavyotaka lakini wenzetu wametuzidi katika kufuata maandiko. Mengine yako kwenye biblia lakini tumeyapa mgongo. Mfano Biblia inataja sifa za mungu kuwa halali, hasinzii, hali chakula nk nasi tunajua Bwana Yesu alikuwa akilala, akila chakula, akisinzia nk lakini bado kuna wanaomuita Mungu, tena viongozi kabisa wa Makanisa. Hapa muislam akiongea maandiko yake yanayotoa maelezo kama hayo ya biblia ila yeye akayafuata, utasema ametukashifu?
 
ni kweli ni wastaarabu ndio maana wana sema yesu si mwana wa mungu wakati aya hizo hazipo kwenye vitabu vyao, ni wastaarabu ndio maana wa choma makanisa ili wao wapate wafuasi zaidi

wanasema yesu si mungu kwa kuwa mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hii inathibitishwa katika quran,
"sema mumgu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa, na hafananishwi na kitu chochote"
sasa hapa wamepinga nn?
 
mwanasheria ameongea jambo zuri linahitaj kufanyiwa kazi naimani all muslims watalifata ila serikali iwe makini kamatakamata ya viongozi wa dini hususani ya kiislamu inasababisha madhara kwa wengine
 
wanasema yesu si mungu kwa kuwa mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hii inathibitishwa katika quran,
"sema mumgu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa, na hafananishwi na kitu chochote"
sasa hapa wamepinga nn?

kwani mission ya uislam ni nini???ni kuja kuwa'prove wrong wakristo??au ni kuwafanya waamini na waumini wake kuishi ktk namna iwapasayo ili wapate kuiona pepo(ili wakapate wale mabikira 30)....hebu mnijuze
 
Nimewasikiliza waislam mara nyingi. Kwa muislam haruhusiwi kunyamazia maneno eti kwa sababu yanapingana na mitazamo ya dini nyingine. Kwani kwenye ukristo lipo hili? Tuseme ukweli kuwa ingawa wapo waislam wanaoishi kinyume na uislam unavyotaka lakini wenzetu wametuzidi katika kufuata maandiko. Mengine yako kwenye biblia lakini tumeyapa mgongo. Mfano Biblia inataja sifa za mungu kuwa halali, hasinzii, hali chakula nk nasi tunajua Bwana Yesu alikuwa akilala, akila chakula, akisinzia nk lakini bado kuna wanaomuita Mungu, tena viongozi kabisa wa Makanisa. Hapa muislam akiongea maandiko yake yanayotoa maelezo kama hayo ya biblia ila yeye akayafuata, utasema ametukashifu?

Zungumzia pia ufufuko mkuu...zungumzia pia kupaa kwake mbinguni....Soma pia kuhusu utatu mtakatifu(trinity)
By the way ukimsoma vzr huyo kristo hutaongea huo u.p.u.p.u....ila ukichukua vijimistari vichache ili viendane na 'cognition' yako utaangukia pua..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom