Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Kuwa mgeni basi, kufika tu unataka tukutongoze, khaaa!!!!!!!!
Mtani ana vielement vya maralia sugu sijui ndo anaamka?
Kuwa mgeni basi, kufika tu unataka tukutongoze, khaaa!!!!!!!!
dah!
huyu jamaa ni mwenda wazimu sana yaani ameamua kutuaibisha wanaume maana mwanaume kamili huwezi kulia lia hadharani kuwa umeporwa mke
unaporwa!!!!!!!!
HUYU NI WA KIUME SIO MWANAUME, mwanaume huwa halalamiki hi hivyo
Mtani ana vielement vya maralia sugu sijui ndo anaamka?
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
Atakuwa ni mbu sugu
Rejea sheria ya ndoa, hii sio kesi ya kisiasa. Na kama Dk Slaa anafanya mchezo badala ya kujibu hoja itamfikisha pabaya na hata kumchafua zaidi. Huwezi kuwa na kesi ya ndoa ya kujibu mahakamani ukamwambia hakimu ni CCM wamenipakazia. Hii inawezekana tu hapa JF lakini sio mahakamani.
Dk. Slaa yuko wapi aje hapa JF kujibu tuhuma hii mbona nasikia yumo humu JF?
kweli wewe fofo fofoIkipimwa DNA unaweza kukuta mtoto wa pili wa Mahimbo na Josephine ni wa Dk Slaa na Josephine. Mtoto huyo kazaliwa 2007 hapo juzi juzi tu wakati huo Dk akivinjali na mke wa mtu kwa kuiba iba na kwenda naye hotelini. Mahimbo asiishie tu kwenye kesi ya ugoni aende mbali zaidi hadi kuwapima watoto wote kama ni wa kwake au wa Dk. Slaa.
Mheshiwa Keil ,kwa hali yeyote ile Slaa inabidi ajiuzulu ,weka mbali hiyo kesi kushtakiwa au kutoshtakiwa, hapa inaonekana kuwa Slaa akitembea na mke wa mtu ,iwe wao wameachana au hawakuachana ila inavyoonyesha hapa wamekimbiana hawakuachana.
Uungwana ni vitendo ,na zaidi hapa pameshaingia doa kwa mgombea Uraisi anatembea na wake za watu ,hilo sio jambo dogo ,iwe kweli au sio kweli ,Slaa ameonekana akimnadi huyo mke wa mtu ,ambae ana watoto wawili ,hili sio jambo la kulifanyia mchezo kwa kuwa tu ni Slaa mgombea wa Chama changu Chadema ,halikubaliki kabisa kabisa ,ni lazima waChadema mkubali ukweli kuwa jambo hili halikubaliki katika jamii na ndani ya Chama ,mnataka kutwambia kuwa hili jambo mnaliruhusu ?????:confused2:
Mambo ya kuibiana wake si mambo ya maana!! mambo ya maana ni kujadili ni hatua gani tuzichukue dhidi ya walioiba mali zetu na hawa wanaotaka kuugeuza uongozi wa nchi yetu mali ya koo zao!!. Acheni mjadala wa maji taka hapa twende kwenye hoja ya msingi ya wizi wa mke wa mtu.
Unategenmea umakini kwa chama ambacho katibu mkuu wake ni makamba.?
Dk. Slaa yuko wapi aje hapa JF kujibu tuhuma hii mbona nasikia yumo humu JF?