PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

Ana dalili za upinde
 
Kuna uongo mwingine ukiusema Inaonekana kabisa ni mwehu .
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

Profesa J
 
Huuyu naye amepwaya kichwani
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

Hii ahadi inanikumbusha ule wimbo wa Prof Jay na Babu Ayubu. Aseme kabisa kama mabomba yatatoa maziwa.
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

Jamaa ana ahadi za kisenge sana kama zile za kwenye maigizo
 
Anatafuta umaarufu tu. Kaona hashim Rungwe anaitwa mzee wa ubwabwa, John Cheyo mzee wa mapesa, naye anatafuta jina.
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

daaah hii dunia mataahira hawataisha!
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

hapo anatafuta kura za askari polisi sio? :pedroP:

yeye ana land cruza kweli?
 
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser

Hii sera ya ubwabwa iliyochangamka...🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom