Wakili Nyaronyo Mwita Kichere: Nipo Hatarini Nafuatiliwa Nawasiojilikana

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,160
Screenshot_20251205-203323.jpg

MWANDISHI wetu Nyaronyo Mwita Kichere, ametujulisha kwamba kuna hatari inaninyemelea.

"Gari aina ya Landcruizer ikiwa na watu saba ndani yake, inaranda jirani na nyumba yangu eneo la Monduli mtaa wa Mkwajuni, kata ya Vijibweni, wilaya ya Kigamboni, mkoani Dar es Salaam."

Source Mwanahalisi Digital
 
Ajisalimishe EU Embassy building kama alivyofanya Lisu!
 
MWANDISHI wetu Nyaronyo Mwita Kichere, ametujulisha kwamba kuna hatari inaninyemelea.

"Gari aina ya Landcruizer ikiwa na watu saba ndani yake, inaranda jirani na nyumba yangu eneo la Monduli mtaa wa Mkwajuni, kata ya Vijibweni, wilaya ya Kigamboni, mkoani Dar es Salaam."

Source Mwanahalisi Digital
Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
 
Akili

Akil yako imejaa mav matupu
 
Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.

..@Yericko Nyerere walikwenda kumkamata na defender mbili zimejaa Mapolisi. Wewe unazungumza kana kwamba Polisi wetu ni watu wenye weledi, na maadili, ktk taaluma yao.
 
Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
Kwanini watu wenye silaha wahangaike kuua raia wasio na silaha?
 
Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
Wewe mpumbavu upon umekaa hapo kawe ukwamani ushaleweshwa visungura na wanaume wenzako unasubiri supu ya mapupu ukalale Kwa shemeji..
 
Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
ONA ZEZETA HILI
 
Wewe popoma unajua comvoy lililomshambulia Lissu lilikuwa na watu wangapi?

Mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na domo lopolopo kama la kamongo.
 
Back
Top Bottom