Wakili Nasoro Katuga hana papara ni very professional

Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Anakuwa judge muda sio mrefu
 
Unakuwa wakili wa serikali, unalipwa mshahara kutokana na kodi wananchi! halafu unakubali kusimama mahakamani kumshtaki mwananchi mlipa kodi, kwa makosa ya uongo!! Huo ni upuuzi.
ulitegemea wakili wa serikali awe na kazi ya kusimamia mashtaka ya wakenya?
 
Mawakili wa Lissu wote wamemshindwa, mpaka Lissu kawafuta kazi, majitu mazima yanakuja kukaa tu mahakamani siku nzima
 
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Very profeshino, hana papara
Anaongea taratibu kama mwanamke aliechoka na mimba sugu! Anapoteza muda kama mjinga alievaa saa mkononi kama pambo!
 
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Hapo unamuona hana papara Kwa kuomba kuahirishwa kesi hadi wiki mbili? Ngoja kesi ianze, utajua nani mkali. Lakini kazi ya uwakili unafahamu kuwa ni kazi inayohitaji kuwa mtu smart? Hata amri ya MUNGU inaeleza kuwa usimshitaki mtu Kwa uongo?
 
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Moja kati ya mawakili bora kabisa, ana utulivu mkubwa. Anakuacha uropoke, ubwabwaje. Yeye anakuja na fact tu. Ndio maana wafuasi wa Braza K wana m blackmail.
 
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Tatizo ni hoja anayoitetea, itamuongezea rekodi ya kesi alizoshindwa
 
Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.

Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.

He knows when to react,What to provoke,how to influence ,who to protect and further he embress,endure and anticipate the future moves of the opponent.

Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.

Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Huyo mtu wako ni kilaza aliyejawa na ushetani mwingi ndani yake kwa kusimamia mashitaka ya uongo.
 
Lissu safari hii kashikika vilivyo.
Alidhani wanatania kumbe watu wapo serious.
Lazima sheria ziheshimiwe, hakuna aliye juu ya sheria.
 
Back
Top Bottom