Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

Mbona wa kawaida tu huyu?? Atawashinda hao wa serekali kwa sababu ni wavivu kujitafutia points hata za kesi iliyo mbele yao. Wao huenda kama wajibu wao lakini huyu huenda kama kazi yake.

Wakili mzuri ni yule ajisomeae hata zaidi ya anachokitafutia points. Anaangalia makesi ya zamani na kuchunguza yalivyoamuliwa. Huyo wa serekali afanye hivyo ili iweje? Huku mmemtwika zigo ghafula bila kujipanga uweze kumzushia mtu shitaka na likae!! Haiwezekani.
 
Binafsi namkubali kwa kaz zake Ila kuna wanaomzdi uwezo wengi tu na mind you kesi zake nyingi zinakua affiliated na politcs au celebrity so mteja wake tayari anakua ni story plus kesi so anapata media coverage ila kuna mawakili wengi wazuri kuliko yeye na wenye kesi nzito na wanashinda lakin kesi zao znakua hazifuatiliwi na media...
Tupe mfano mkuu!
 
Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana! Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana! Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv,KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Hivi unajua hata mwehu hujiona yu na akili kuliko wenye timamu ndo ww sasa,ni zuzu lakini unazani upo sawa.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana! Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana! Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv,KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!

Kama ni mpuuzi ingia nae kwenye kesi sasa?! Hao wakenya una record za kesi walizoshinda?! Mi nilijua utamlinganisha na Kabudi kumbe uvuka tena border???
 
Ana hotel 3 star..wakati ukoo wenu hakuna hata mwenye nyumba ya wageni...
Haya ni mambo ya Kike ambayo hupaswi hata kuyaweka humu Endelea Kudharau watu usiowajua Unafikiri kila member uko nae sawa kimaisha mkuu Mimi na tuko sawa kwa sababu ya Membership ya Jamii Forums lakini nilivyonavyo hautavipata hata siku moja sidharau vya watu ila kwa huko vijijini kama Mbeya mnaona Hotel ya Sugu ni Hotel Yale ni mabanda ya kawaida tuu na Deni lake Lipo CRDB unayefikiria kuwa kajenga kwa pesa yake.
 
We nae kimeo tu , sasa kwanini umwambie ulivyo navyo hawezi kuvipata na wakati humfahamu!!! Na we walewale tu
 
ww ndo mpuuzi ,hizo mahakama za Kenya ziko fair mahakimu hawapangiwi hukumu
Kama zipo fair nijibu ya fuatayo.
-sheria ipi inayomruhusu raia wa Kenya kuwa Mungu mtu.
-nipe mfano wa kesi yeyote iliyowahi kutikisa Kenya ambapo tajili alishindwa kesi na masikini .
 
Kibatala ni moja wa mawakili wazuri kuwahi kutokea ktk ukanda huu, anayebisha abishe kwa sababu ya wivu wa uke wenza but that's the bitter truth.

Kushinda tu vyesi vyesi vya uchochezi ktk nchi ambayo mahakama haziko huru sio kazi rahisi hata kidogo tofauti na nchi kama Kenya ambapo mahakama kidogo ziko huru.
 
Ukitaka ya Peter (wangoni wanaita peteri) basi tuletee ya msomi wa Lumumba "Godwin Kunambi" aliyekua mwanasheria wa CCm na sasa analinda interest za mzee kipara Dodoma kama DED! hivi kuna kesi aliwahi shinda?? jamaa level zake kama Monday likwepa rais wa bao!

Nadhani umekosea; labda ulimaanisha DC! DED ni nafasi ya madaraka anayopewa mtu ambaye tayari yuko kwenye utumishi wa umma na siyo kutoka nje. Nafasi za DC, RC ndizo zinazoweza kutolewa kwa mtu yeyote. Kama kweli huyu ni DED basi something is terribly wrong in our system. Labda hiki ndicho alichomaanisha Prof. Kabudi kwenye ile kauli yake bungeni: when law was law and Presidents were Presidents!
 
Haya ni mambo ya Kike ambayo hupaswi hata kuyaweka humu Endelea Kudharau watu usiowajua Unafikiri kila member uko nae sawa kimaisha mkuu Mimi na tuko sawa kwa sababu ya Membership ya Jamii Forums lakini nilivyonavyo hautavipata hata siku moja sidharau vya watu ila kwa huko vijijini kama Mbeya mnaona Hotel ya Sugu ni Hotel Yale ni mabanda ya kawaida tuu na Deni lake Lipo CRDB unayefikiria kuwa kajenga kwa pesa yake.
Eti mkopo sio pesa yake!! kwani wakati unakopa si unaweka assets zenye thamani ya mkopo ili uweze kukopesheka??? Ssa kma assets alizoweka zina thamani ya mkopo aliopewa kujengea hoteli ina maana kuwa ana uwezo wa kujenga hiyo hoteli mwenyewe nje ya mkopo....
 
Kama zipo fair nijibu ya fuatayo.
-sheria ipi inayomruhusu raia wa Kenya kuwa Mungu mtu.
-nipe mfano wa kesi yeyote iliyowahi kutikisa Kenya ambapo tajili alishindwa kesi na masikini .
Mkuu ni kweli kenya wanajitahidi sana Babu owino mbunge kijana kabisa katoka chuo juzi tu kamuita Rais kenyatta MBWA kwenye public kabisa....ila amekaa selo siku moja tu ya pili kaachiwa na kesi kashinda unafkiri kwa hapa Tanzania umejionea mwenyewe jinsi lissu sugu mdee na lema walivyosota rumande kisa kutoa maneno ya "uchochezi"
 
Eti mkopo sio pesa yake!! kwani wakati unakopa si unaweka assets zenye thamani ya mkopo ili uweze kukopesheka??? Ssa kma assets alizoweka zina thamani ya mkopo aliopewa kujengea hoteli ina maana kuwa ana uweozo wa kujenga hiyo hoteli mwenyewe nje ya mkopo....
Huna Elimu ya masuala ya mikopo mikubwa Kuna Secured and Unsecured loan endelea kuwa Ngombe wa Mbowe unafikiri Huo mkopo ni wa Sh. 8million? Ukaweka Nyumba Ile Project imejidhamini yenyewe na Ni Longterm Debt Sasa akishindwa Kulipa Hotel ndo Itauzwa.
 
Mi naona hainabhaja ya cv maana anachowafanyia huko mahakamani ni cv yake tosha
 
Haya ni mambo ya Kike ambayo hupaswi hata kuyaweka humu Endelea Kudharau watu usiowajua Unafikiri kila member uko nae sawa kimaisha mkuu Mimi na tuko sawa kwa sababu ya Membership ya Jamii Forums lakini nilivyonavyo hautavipata hata siku moja sidharau vya watu ila kwa huko vijijini kama Mbeya mnaona Hotel ya Sugu ni Hotel Yale ni mabanda ya kawaida tuu na Deni lake Lipo CRDB unayefikiria kuwa kajenga kwa pesa yake.
Huna lolote wewe watu mnaokesha JF kutetea vyama hamna mlichowekeza zaidi ya 7000 yenu mnayopewa kwa siku..
 
Kibatala ni Mwanasheria wa kawaida sana! Nimesoma mahojiano yake jana Mahakamani kuhusu kesi ya Dikteta Uchwara ana maswali ya kitoto sana! Tatizo lenu wengi " Lugha" haipandi mngetazama Citizen Tv,KTN na K24 muone nini maana ya Wanasheria wasoma na sio upuuzi wa eti KIBATALA!
Hujajibu swali, huo ni umbea ukichanganyikana na wivu wa kike!
 
Back
Top Bottom