Wakili Msomi na Diwani wa Wazo-Temeke " Washeni Mitambo ya IPTL Tupate Umeme"

Kipindi yuko.Magufuli mitambo haikuwahi washwa na umeme ulikuwa ukipatikama bila shida kuna tatizo na uwindaji ulaji mahali
Magufuli ndio alizima,demand ya umeme ya Sasa ni tofauti na ya kipindi kile so Yuko sahihi wawaseh mitambo Tupate Umeme.
 
Hamuishi uongo kutunga kila siku

Mara gesi ikija tatizo.la umeme liaises gesi hiyo ipo mnaendelea kutunga uongo tu usiokoma

Hayo.mapesa yatawapeleka wapi kesho tu mnskuwa vikongwre mnatembea mnatetemeka hata vyakula vizuri.kula hamuwezi

Viko vikongwe kibao vilikuwa vijixi vikubwa sasa hivi viko hoi kula kwa siku haifikishi haya elfu tano mlo wake
 
Gas haijatuniwa inavyotakiwa.
Msikilize Wakili Msomi.

View: https://www.instagram.com/reel/CxhqT0JqnYw/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom