CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
HABARI: Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo kupitia CUF, wakili mashaka Ngole amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Ubungo.
Kule visiwani hata kura 10 hawapatiCUF kwa bara sidhani kama mtapata kiti hata kimoja
walimuendekeza Lipumba sasa watavuna walichopandaKule visiwani hata kura 10 hawapati