Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Habari za kuaminika nilizo zipata toka Arusha Kuwa Adv. Mwale kalazwa Mt.Meru baaada ya kupata maumivu kwenye chumba cha mateso walikuwa wakitaka kujua hizo Billion ni za wateje gani, Na mpaka hivi sasa Adv.Mwale kashikilia msimamo huo huo kuwa ni pesa za mteja wake ila hajamtaja ni nani na zilikuja kwa ajili gani.

Watu wa Arusha walio karibu na Mt.Meru Hospital watupe zaidi details

Pesa zote hizo ni za mteja wake? Kwa nini mteja wake aweke pesa zake kwenye akaunti ya huyo kaka msomi? Kuna harufu ya money laundering hapo.

Na hatataja na mwisho wa siku watambalali

Wanakula hadi wanavimbiwa wanaanza kujitapikia, unalunda mahela yote ya nini huo ndo ujinga wenyewe ati.

Ndio maana mimi niliacha siku nyingi kumvalue mtu kwa degree alizonazo, bali namvalue yeye mwenyewe personal kutokana na upstairs yake ikoje. Nawahakikishia kama mimi ningekuwa ni mtu wa Human Resource basi wasomi wengi wa Kitanzania wangekosa ajila kutokana na interview zangu.

Usitegemee kushinda kesi kama unawakilishwa na wakili wa aina hii. huyu akapate semina elekezi kwa Chenge na Nimrodi Mkono afundishwe how to keep very handsome money in ur account without facing investigation. Chenge anameet kuitwa msomi. ( hapa hoja sio kwamba ni fisadi au sio fisadi.)

Kaka, kwa Watanzania wengi akili za mtu zinapimwa kutokana na divisheni aliyopata form four na form six bila kusahau kupasi darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga na sekondari za serikali. Hao ndiyo wenye akili Tanzania.

Sasa huyu kaka msomi nahisi alichukua mchepuo wa HGL wakati akiwa A level. Kama hakusoma ile "special school" Mzumbe basi atakuwa alisoma Ilboru. Akapiga divisheni wani yake akachaguliwa kwenda kusoma LLB UDSM.

Lazima atakuwa ana akili sana huyu advoketi, kaka msomi Mwalle.

Pesa zote hizo ni za mteja wake? Kwa nini mteja wake aweke pesa zake kwenye akaunti ya huyo kaka msomi? Kuna harufu ya money laundering hapo.
Mkuu NN wateja wa Jamaa wengi ni wale accused for great armed robbery,hivyo usishangae hawana hata muda wa kuwa na their own bank account kwani mshikaji ndio kichwa chao na banker wao.

Kaka, kwa Watanzania wengi akili za mtu zinapimwa kutokana na divisheni aliyopata form four na form six bila kusahau kupasi darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga na sekondari za serikali. Hao ndiyo wenye akili Tanzania.

Sasa huyu kaka msomi nahisi alichukua mchepuo wa HGL wakati akiwa A level. Kama hakusoma ile "special school" Mzumbe basi atakuwa alisoma Ilboru. Akapiga divisheni wani yake akachaguliwa kwenda kusoma LLB UDSM.

Lazima atakuwa ana akili sana huyu advoketi, kaka msomi Mwalle.
Ndio maana Consular section ya US Embassy Dar es salaam walishakataaga mambo ya kwenda kwenye viza interview na lundo la makaratasi, wao sasa hivi wanataka uende wewe na passport yako na fomu ya maombi tu, ambayo tayari wao original yake wanakuwa wameshaipitia kwa njia za electronic, maana wanajuwa Wabongo wengi wanabeba mikaratasi hata hawajui imeandikwa nini.

Siongei hapa kufurahisha baraza nina rafiki zangu ambao wamenizidi vyeti vya vyuo walivyosoma lakini cha ajabu mimi ndio msaada mkubwa kwao, wengine mpaka application letter na cv nawandaalia mimi.
Sina imani kabisa na 60% ya wasomi tunaozalisha Tanzania. hapa huwa namkumbuka zaidi Meddy Mpakanjia RIP, ni std 7 leavel but he was a Bussiness winner. hii ndio category ya watu wanao niinspire mimi.

Hebu mwenye habari ya kuaminika a2juze wajameni kwani hii issue siyo fupi ndugu zanguni. Mmmmmmmmmmmmm!!!!!!

Ndio maana Consular section ya US Embassy Dar es salaam walishakataaga mambo ya kwenda kwenye viza interview na lundo la makaratasi, wao sasa hivi wanataka uende wewe na passport yako na fomu ya maombi tu, ambayo tayari wao original yake wanakuwa wameshaipitia kwa njia za electronic, maana wanajuwa Wabongo wengi wanabeba mikaratasi hata hawajui imeandikwa nini.

Siongei hapa kufurahisha baraza nina rafiki zangu ambao wamenizidi vyeti vya vyuo walivyosoma lakini cha ajabu mimi ndio msaada mkubwa kwao, wengine mpaka application letter na cv nawandaalia mimi.

Sina imani kabisa na 60% ya wasomi tunaozalisha Tanzania. hapa huwa namkumbuka zaidi Meddy Mpakanjia RIP, ni std 7 leavel but he was a Bussiness winner. hii ndio category ya watu wanao niinspire mimi.

yes, he insired many people including a number of beautiful inocent ladies and let the MEDphil get into a cofin ahead of him: lol!

Back
Top Bottom