Wakili Jebra: Kama kupambana na wizi wa rasilimali ni kuzungusha ukuta, zungusha nchi nzima

Ukuta wa china ulijengwa maelfu ya miaka iliyopita.ukuta hauwezi zuia wizi karne hii ambayo kuna drones zenye uwezo wa kubeba hadi mzigo wa kilo tano.

SAWA KASUKU HANA UWEZO WA KUKAMATA MWIZI LAKINI MTU ANAMFUGA NA KUMUWEKA SEHEMU AMBAYO MGENI AKIINGIA KASUKU ATAPIGA KELELE NA ITAKUWA NI ISHARA KWA MWENYE NYUMBA.UKUTA SIO LAZIMA UZUIE WIZI KWA ASILIMIA 100 ISIPOKUWA ANGALAU KWA KIWANGO FULANI WIZI ATAPUNGUA !!
 
Utapungua kwa asilimia ndogo sana.
 
Hivi Huyu wakili wa Chadema toka aanze kazi ya uwakili ameshinda kesi ngapi?
Kumbuka haya mmayoyafanya ni matokeo ya kule kushangilia kwenu na hakika haya simnayashangilia mda kidogo mtasema ni chadema walisababisha mkajenga huo ukuuta bac sawa
 
Kumbuka haya mmayoyafanya ni matokeo ya kule kushangilia kwenu na hakika haya simnayashangilia mda kidogo mtasema ni chadema walisababisha mkajenga huo ukuuta bac sawa

Unajua jamaa yangu nakusamehe bure Kwa kua uelewa wako ni mdogo sana wa masuala haya tunayoyajadili , na unaendeshwa na mihemuko bila ya kuishirikisha akili yako, hilo ndo tatizo ulilonalo.

Fahamu, Kwa hatua serikali iliochukua ya kuuwekea uzio mgodi wa tanzanite ni hatua moja mbele, kwani Kwa sasa ni mgodi rasmi wenye uzio na sheria ya trespasses inahusika, ukiingia illegal ni kosa, Tofauti na mwanzo ilikua holela, holela Kwa maana hakukua na usalama Kwa wachimbaji na upotevu wa mapato ya serikali

Kwa sasa serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kunufaika na madini hayo ikiwa ni pamoja na review ya sheria mbalimbali za madini, faida ni nyingi ila huwezi ziona haraka Kwa sasa hivi.

Fahamu pia Duniani kote migodi inauzio,sisi sisi si wa kwanza,

Tusiwe wa kupingapinga tu kila kitu, vingine ni vya kupongeza
 
Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?

Kama china walijenga ukuta why not us?
Ngoja nikuwekee kabisa majina ya hao wanasheria wako ambao walikuangusha
1. Chenge
2. Mwanyika
3. Werema
Sasa ebu tuambie wote hao wanatokea chama gani? vipi kuhusu Chenge ambae anahusika moja kwa moja zaidi ya 80% katika Kashfa nyingi za ufisadi hapa nchini umeishawahi hata siku moja kusikitika kwa yeye kuendelea kuwepo Bungeni na kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge?
 
Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?

Kama china walijenga ukuta why not us?
Sio wanasheria wamebobea sheria zaadini
 
Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?

Kama china walijenga ukuta why not us?
Ahaa...kumbe ukuta ndio mbadala wa sheria?
 
Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?

Kama china walijenga ukuta why not us?
Hivi Yule waziri aliyesaini mikataba ya madini hotelini kule Landani yuko wapi siku hizi?
 
Ukuta umekwisha jengwa, Mengine ni mazungumzo baada ya habari.

Hivi Huyu wakili wa Chadema toka aanze kazi ya uwakili ameshinda kesi ngapi?
Kujenga ukuta ni one thing, kuzuia Tanzanite isiendelee kuibwa, I mean kuhakikisha muuzaji mkuu anakuwa TZ badala ya India (first) na Kenya (second) is quite another....
 
Hivi Yule waziri aliyesaini mikataba ya madini hotelini kule Landani yuko wapi siku hizi?
Yuko pale bandarini na ni mmiliki wa TICTS na majuzi kwenye kikao cha rais na wafanyabiashara wameomba waongezewe eneo pale bandarini na nadhani wameshapewa tayari.
 
nadhani anamaanisha kuwe na geti moja tuu ambalo litakuwa rasmi kwa madini kupitia katika utokaji wake,japo hapa atakuwa amedhibiti madini kuto kutoka kihalali ila sio mikataba na nk
Nimesikia ukuta una more than 25km length... Each km itakuwa inalindwa in and out? Nini kitazuia kuchimba tunnel ikiwa machimbo yenyewe ni full of tunnels?
 
Maumivu inayokupa CCM ni kama yale ya labour...yaani baada ya kujifungua unafurahi...na mwakani unapata mimba tena.
Aisee kwa hiyo mpendwa wetu cheupee dawaaa mwakani mnampiga nyingine tena? Atapata kweli muda wa kulinda mawe yetuu?
 
Wizi wa madini hauwezi kuzuiliwa kwa ukuta. Ule ukuta unarukika na rushwa itaongezeka tu na madini yatapita. Isitoshe, njia zilizoko huko mashimoni zimeenda mbali sana kuuvuka huo ukuta kwahiyo tanzanite itatoka tu. Mihemuko ya kisiasa ndo imesababisha ukuta ujengwe.
Nilipokuwa Mererani juzi, hiki ndicho nilichosikia wengi wakikisema... Hasa wachimbaji
 
Yuko pale bandarini na ni mmiliki wa TICTS na majuzi kwenye kikao cha rais na wafanyabiashara wameomba waongezewe eneo pale bandarini na nadhani wameshapewa tayari.
See? Hiki ndicho wanachokijua Lumumba, kulindana kwenye kuhujumu halafu furushi la lawama wanawatupia wapinzani....
 
Back
Top Bottom