Godfrey wasonga WA dodoma namkumbuka Sana. Kuna mzee WA kutoka Uganda alijifanya Anauza madini nikawa nimepata wanunuzi WA Italy. Mzee akasema tuende dodoma kusaini mkataba kwa wakili wake wasonga kabla biashara haijaanza,mkataba akaandika wasonga tukaenda dodoma kusaini na mzee tukamgaramia usafiri.Tukasaini mkataba wasonga akata alipwe asilimia Fulani ya garama ya mkataba tukagoma mpaka tuuziwe Mali na iwe ya ukweli.mzee akasisitiza Sana tumlipe wasonga tukagoma na yule mzee kiukweli hakuleta Mali mpaka hivi Leo toka mwaka 2008/2009.
sasa mpaka Leo najiuliza ule utapeli ulikuwa umetengenezwa na mzee au wasonga alishiriki??
sometimes nakiri kufikiri baadhi ya wanasheria Ni matapeli