Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Kama malengo yake yalikuwa wakati wa kudai uhuru naona kwa sasa ndo muda mwafaka, maana nchi imerudi mikononi mwa mkoloni ila tofauti yake huyu ni mkoloni mweusi!
 
Hawez kosa matatizo. Sio Fatuma tu huwa anaita wanawake wenye mafanikio hivyo.
Badala awaige naye afanikiwe ana kazi wa kuwatusi tu.
Ila ndio kina mama wa ccm hao
"Furasitireisheni" in some one's voice
 
Msameheni. itakuwa ni hasira ya kushindwa. Na kibaya zaidi kashindwa na mwanamama.
hapo ndipo anapoumia sana.
Atakuwa wa team ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
WASONGA Nani asiyejua, bali ni yeye mwenyewe ndiye hajitambui. Siku ile ya sheria alipopata nafasi ya kuongea aliongea pumba tupu na wala hakumtaja Rais wake Lissu!!
 
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
Kwanini ajitafakari?!?
 
Huyu wasonga ni zero kabisa, dodoma hapi kashazaraulika sana lakini bado yumo....
 
Asilimia zaidi ya 90 ya watanzania ni wajinga..i mean hawana uelewa na wala hawana ctitique minds..ndio maana uchaguzi wa TLS sio reflection ya hali halisi...CCM inachaguliwa na wajinga
 
Huyu wasonga ni zero kabisa, dodoma hapi kashazaraulika sana lakini bado yumo....
Ni kweli hapa Dodoma Wasonga keshadharaulika
  • Kakosa kura hata za wenzake
  • anawapinga hata Mawakili wenzake wanapotetea ukweli
  • anakunjiana ngumi na wanaomkosoa
  • kaenda Singida kumuangusha Tundu lissu kesi ya Ubunge
  • kabadilika kwani mwanzo hakueleweka alipolia machozi kusona Deus malya anafungwa kwa kesi ya Chacha Wangwe
  • Hela imemponza kwani zilimvaa haswa akafungua na Club ya usiku hapa Uhindini
  • sasa kura 5 na ya kwake?
 
Toka Tundu Lissu agombee urais TLS kila mtu anafatilia chama hiki,mwanzo waliokuwa wanafatilia Na kukijua chama cha mawakili walikuwa mawakili wenyewe na watanzania wachache ,lakini Leo hii hata kijini TLS inafahamika.kuna watu wanakubalika nchini
 
Toka Tundu Lissu agombee urais TLS kila mtu anafatilia chama hiki,mwanzo waliokuwa wanafatilia Na kukijua chama cha mawakili walikuwa mawakili wenyewe na watanzania wachache ,lakini Leo hii hata kijini TLS inafahamika.kuna watu wanakubalika nchini
Umenena ukweli usiokuwa na Shaka hata kidogo. Kugombea Tundu Lisu, TLS ilijulikana Tanzania nzima. Hata wanasheria wenyewe sasa wanaona chombo chao kina hadhi na ndiyo maana hata contestants wamekuwa na ushabiki mkubwa toka kwenye jamii yetu ya Watanzania
 
Quick observation, zinaonyesha jamii inahamasika sana kwenye chaguzi yeyote
Hiyo observation yako ni feki,miaka yote tumeshuhudia chaguzi za TLS.Daruso na kwenye taasisi zinazofanana nazo zikiwa na mvuto kama hivi
Mwisho wa siku serikali ni ile ile hakuna cha wananchi kuhitaji kusemewa wala nini ni midadi tu ya kisiasa chaguzi zikiisha vyama vinapoa
 
Sidhani kama hilo kwa akili zake linaashiria chochote!
 
Tungesikia bits za kale kawimbo nyakanyaka bonus. Nyaka twitter, nyaka whatsap, yaani unanyaka kila kitu!
 

Wameziba masikio, wamejaa viburi hawawezi kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…