Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
Waliompigia kura ni wafanyakazi wenzake, aliosoma nao schools of law na wengine bachelor's degree
 
Kweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja?? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.

Naona na wewe umeweza kujenga hoja hapa
...shame on u
 
Huwa kama ana tatizo kichwani. Kwanini amemuita mwenzake malaya? fatuma is a respected Lawyer! Hana makandokando ya kijinga!
Hawez kosa matatizo. Sio Fatuma tu huwa anaita wanawake wenye mafanikio hivyo.
Badala awaige naye afanikiwe ana kazi wa kuwatusi tu.
Ila ndio kina mama wa ccm hao
 
Hawez kosa matatizo. Sio Fatuma tu huwa anaita wanawake wenye mafanikio hivyo.
Badala awaige naye afanikiwe ana kazi wa kuwatusi tu.
Ila ndio kina mama wa ccm hao
Mtu kama huyo ni kum ignore posts zake!
 
Tatizo watu wamechoka kwa sasa. wasonga anajulikana anataka nini TLS ndo tatizo lake la kuanza kushindwa
 
Hiyo ni sehemu ndogo mno ya electorate
 
Picha ninayoipata ni kuwa "watu" na sio wanasheria tu, hawaipendi CCM maana Wasonga ni CCM.. akina Jerry Muro &Co.Ltd!
Lkn fahamu kua hicho chama kipo na kitaendelea kuwepo sana na ndiyo maana kinaongoza km maoni yako yangekua sahihi basi kingeshakua chama pinzani kwa sasa
 
Lkn fahamu kua hicho chama kipo na kitaendelea kuwepo sana na ndiyo maana kinaongoza km maoni yako yangekua sahihi basi kingeshakua chama pinzani kwa sasa
Uko sahihi. Wao wanatetea utawala wa Sheria na siyo siasa. Ni coincidence kuwa kuna chama kinalia na ukosefu wa utawala wa sheria vile vile
 
Uko sahihi. Wao wanatetea utawala wa Sheria na siyo siasa. Ni coincidence kuwa kuna chama kinalia na ukosefu wa utawala wa sheria vile vile
Hicho chama kingetafuta njia mbadala badala ya TLS
 
Naunga hoja, lugha aliyotumia sio ya Great Thinkers! Ni shutuma za kijinsia na haifai kuvumiliwa hata chembe. Kumwondoa kwenye kundi hili ni ishara ya kuheshimu utu wa ubinadamu wetu. Mwondoe mwondoe!
Naunga Mkono Aandolewe hana hadhi ya kuwa mnawajamii forum
 
Chama cha Waalimu Tz
 
Kinyago tulokichonga wenyewe hakiwezi kutusumbua
 
Wanawake kwa nini uwa hampendani?
 
Ccm yalikuwa yanataka achaguluwe mtu wao imekuwa kinyume minzi ya kijani bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…