Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,290
Reaction score
96,516
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
Kweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja???? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.
 
Kweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja???? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.
For a sensible man this tells a great msg to uchaguzi huru na wa haku (free and fair election) on your part. This is a true reflection of wishes of "Tanzaians"..... Ungelisimamiwa na Ramadhani Kailima na Aron Kagurumujuri unadhani matokeo yangelikuwaje?
 
Quick observation, zinaonyesha jamii inahamasika sana kwenye chaguzi yeyote au malumbano yeyote ambayo mtu anayeonekana vocal against government anashiriki, na waliowengi hufurahi akishinda dhidi ya perceived resistance kutoka serikalini. Hii ni dalili kwamba waliowengi wanapinga serikali ila hawana wa kuwasemea na ni dalili kwamba serikali inaminya uhuru wa Wananchi wake. Kama ningekuwa nashauri serikali ningewaambiwa waanze kujitathmini na kuchukua corrective measure, ukiondoa ushabiki wa kisiasa na ukifuata kanuni ya sayansi ya jamii, this is not health for our nation.
 
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
Walishatofautiana na Lissu muda mrefu sana
 
Best Idea. Lakini Bwana Yule hashauriki, Labda maombi yanatafanikiwa.
 
Ajitafakari kwa kosa gani sasa!? Si ndo maana ya demokrasia hiyo, kuchagua na kuchaguliwa ni haki ya kila mwanachama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…