Ni kweli kabisa nafasi nyingi za kazi Tanzania zimeshikwa na wa Kenya na huu na mwanzo tu,
fuatilia mabasi yanayotoka Kenya kila siku yanavyokuja na vijana wengi wa kenya ndo utaelewa
hii nchi haina mwenywe.Na tatizo kubwa zinapotolewa nafasi za kazi na watu kuitwa kwenye
interview watanzania tatizo kujieleza kingereza,Mkenya anaongea kingereza,makampuni mengi hayaangalii
uraia yanaangalia uelewa na pia uchapa kazi,na serikali haina mpango wowote juu ya hilo.Tuendelee
kudumisha kiswahili lugha ya Taifa hayo ndiyo madhara yake.[/QUOTE]
HAPO UMESEMA UKWELI NDUGU YANGU. serikali haitaki kurudisha kiingereza kama lugha ya kufundishia mashuleni ili atanzania nao wakiongee na kutumia utaalamu wao nje ya mipaka. kitu chochote alichokifanya nyerere hakibadiliki ingawa hata kama kina madhara kwa raia. wewe uona mswala ya muungano, kurudisha kiingereza mashuleni,kuchukia mabepari na nchi za wset,kuchukia Israel na kukataa kufungua ubalozi Tel Aviv,mahakama kutokuwa huru, Yaani haya mambo hayabadiliki tokea enzi za JKN!!!
Yaani kwa kifupi bado tunatwaliwa na kaburi lake.waache kenya watutawale mimi siumii kabisaa kwa sababu ya malezi mabovu ya vijana tuliyoyapata tangia enzi za TANU. Kama utakumbuka Jinsi Mu Israel alivyoitawala Ujerumani kiuchumi na kushika sehemu zote nono, ndivyo Kenya Itakavyotutawala sisi kwa sababu ya umalezi mmbaya wa wa Chama chashika hatamu.