Wakenya watalia akitoka Kenyatta kama Watanzania wanavyolia alivyotoka Kikwete

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huwezi kutofautisha sana Uongozi wa Kenyata na mstaafu Kikwete

Ni viongozi wanaomini katika Demokrasia ya kweli, viongozi wasiojali kupingwa wala kusemwa kwa ubaya,
Viongozi wanaotenda kwa jamii nzima Maskini na matajiri kama una Access ya kufanya kitu fanya na utafanikisha,

Kikwete kwa sasa ni mstaafu licha ya maneno mengi ya kumnanga/Kusemwa na kumtukana yaliyokuwa yanatoka kwenye vinywa vya watanzania wengi leo hii amekuwa ni shujaa wao wanamkumbuka na kummisi wote wale waliomnanga wamekula matapishi yao,

Kenya leo wanamuona KENYATTA kama sio chochote ni mficha mafisadi, mwizi wa pesa zao za umma lakini hawana Ushahidi zaidi ya maneno

Wanasahau kwamba Kenyatta ndio anaewapa Demokrasia ya kusema yote hayo na huku yeye akiwatazama na kucheka tu,

Kenyatta huyu huyu wanaemuona boya ndie anaewapa utawala Bora kuanzia Mahakama, bunge na Raia wote wana uhuru na haki, hakuna uonevu usio na tija ndani ya Kenya,

Leo baadhi ya watanzania wanalia, wengine wanatamani ata siku zingerudi nyuma wawe pamoja na KIKWETE, waajiriwa wanalia, wahitimu wa chuo wanalia, wafanyabiashara wanalia, wananchi wanalia,
Lakini wote hao ukiwafata na kuwauliza kwa nini wanalia watoke waseme,
Watatoka na kutabasamu kinafiki huku wakisifia, wanaogopa kusema ukweli kwa sababu Hakuna Demokrasia ya kweli zaidi ya maneno na maandishi ya kwenye karatasi,(ongea ukweli unyamazishwe au sifia ubovu upate uteuzi/Uishi kwa Amani),
Ndio utawala uliopo sasa,

Kenya leo mnamuona Kenyatta hafai lakini ipo siku Mtamkumbuka,

Cc Zero IQ
 
Huwezi kutofautisha sana Uongozi wa Kenyata na mstaafu kikwete,

Kenya leo wanamuona KENYATTA kama sio chochote ni mficha mafisadi, mwizi wa pesa zao za umma lakini hawana Ushahidi zaidi ya maneno,

Aiseee account ya Zero IQ imedukuliwa uku !!
 
wakenya sio wajinga kama sisi, hakuna raisi anayeweza kuwaburuza kama hawajamfuwata ikulu
 
Huwezi kutofautisha sana Uongozi wa Kenyata na mstaafu Kikwete

Ni viongozi wanaomini katika Demokrasia ya kweli, viongozi wasiojali kupingwa wala kusemwa kwa ubaya,
Viongozi wanaotenda kwa jamii nzima Maskini na matajiri kama una Access ya kufanya kitu fanya na utafanikisha,

Kikwete kwa sasa ni mstaafu licha ya maneno mengi ya kumnanga/Kusemwa na kumtukana yaliyokuwa yanatoka kwenye vinywa vya watanzania wengi leo hii amekuwa ni shujaa wao wanamkumbuka na kummisi wote wale waliomnanga wamekula matapishi yao,

Kenya leo wanamuona KENYATTA kama sio chochote ni mficha mafisadi, mwizi wa pesa zao za umma lakini hawana Ushahidi zaidi ya maneno

Wanasahau kwamba Kenyatta ndio anaewapa Demokrasia ya kusema yote hayo na huku yeye akiwatazama na kucheka tu,

Kenyatta huyu huyu wanaemuona boya ndie anaewapa utawala Bora kuanzia Mahakama, bunge na Raia wote wana uhuru na haki, hakuna uonevu usio na tija ndani ya Kenya,

Leo baadhi ya watanzania wanalia, wengine wanatamani ata siku zingerudi nyuma wawe pamoja na KIKWETE, waajiriwa wanalia, wahitimu wa chuo wanalia, wafanyabiashara wanalia, wananchi wanalia,
Lakini wote hao ukiwafata na kuwauliza kwa nini wanalia watoke waseme,
Watatoka na kutabasamu kinafiki huku wakisifia, wanaogopa kusema ukweli kwa sababu Hakuna Demokrasia ya kweli zaidi ya maneno na maandishi ya kwenye karatasi,(ongea ukweli unyamazishwe au sifia ubovu upate uteuzi/Uishi kwa Amani),
Ndio utawala uliopo sasa,

Kenya leo mnamuona Kenyatta hafai lakini ipo siku Mtamkumbuka,

Cc Zero IQ
Kikwete wanaotamani arudi ni wale wavivu na wapenda short-cut. Hawa ni wachache sana na usisema kwa ujumla eti ni ''watanzania''.
 
True Kama Wakalee Wataingia Ikulu Mtoto Wa Moi Au William Ruto .

Kilio Lazima Kitatawala Maana Ile Jamii Kwa Roho Mbaya Basi 2 .

Uhuru Ni Mshikaji Sana Na Ana Hofu Ya Mungu!
 
Wakenya sio ng'ombe waburuzwe Na wahutu bwashnee.Walipigana maumau wale sio maiti zinazotembea wala huwa awasubiri siku kuandamana.Mahakama zao ziko huru mfumo wa udikteta hauna nafasi kwao.Sie mchawi katiba.
 
Mfano mjasiliamari mdogo kipindi cha kikwete kwa siku biashara yake mauzo akiuza 50k tsh akienda kununua bidhaa kurudishia alivyouza alikuwa anabaki na faida nusu yake... yaani 25k.! siku hizi unajipinda hata wateja hamna na hata ukiuza hiyo 50k ukaenda kununua urudishie bidhaa ulizouza unabaki na faida 3k! ukitumia zaidi ya hiyo 3000 ujue unaingilia mtaji. ee Mungu tusaidie
 
Huwezi kutofautisha sana Uongozi wa Kenyata na mstaafu Kikwete

Ni viongozi wanaomini katika Demokrasia ya kweli, viongozi wasiojali kupingwa wala kusemwa kwa ubaya,
Viongozi wanaotenda kwa jamii nzima Maskini na matajiri kama una Access ya kufanya kitu fanya na utafanikisha,

Kikwete kwa sasa ni mstaafu licha ya maneno mengi ya kumnanga/Kusemwa na kumtukana yaliyokuwa yanatoka kwenye vinywa vya watanzania wengi leo hii amekuwa ni shujaa wao wanamkumbuka na kummisi wote wale waliomnanga wamekula matapishi yao,

Kenya leo wanamuona KENYATTA kama sio chochote ni mficha mafisadi, mwizi wa pesa zao za umma lakini hawana Ushahidi zaidi ya maneno

Wanasahau kwamba Kenyatta ndio anaewapa Demokrasia ya kusema yote hayo na huku yeye akiwatazama na kucheka tu,

Kenyatta huyu huyu wanaemuona boya ndie anaewapa utawala Bora kuanzia Mahakama, bunge na Raia wote wana uhuru na haki, hakuna uonevu usio na tija ndani ya Kenya,

Leo baadhi ya watanzania wanalia, wengine wanatamani ata siku zingerudi nyuma wawe pamoja na KIKWETE, waajiriwa wanalia, wahitimu wa chuo wanalia, wafanyabiashara wanalia, wananchi wanalia,
Lakini wote hao ukiwafata na kuwauliza kwa nini wanalia watoke waseme,
Watatoka na kutabasamu kinafiki huku wakisifia, wanaogopa kusema ukweli kwa sababu Hakuna Demokrasia ya kweli zaidi ya maneno na maandishi ya kwenye karatasi,(ongea ukweli unyamazishwe au sifia ubovu upate uteuzi/Uishi kwa Amani),
Ndio utawala uliopo sasa,

Kenya leo mnamuona Kenyatta hafai lakini ipo siku Mtamkumbuka,

Cc Zero IQ

Hata Hitler NA Mussolini Leo hii Watu bado wanaendelea kuwa kumbuka!
 
Ufipa bure kabisa. Leo mmemmisi muliyemuita rais dhaifu? Jpm aendelee kutandika hapo hapo mpaka pawe pekundu.
 
Kenya tunaendeshwa na katiba mpya na nzuri tuliyotengeneza wenyewe tofauti na ile ya mkoloni iliyoumba miungu watu. Rais Uhuru hana budi ila kuheshimu katiba maana imenyoosha urais hadi basi. Hata akiondoka waje wengne kumi, bado tutakua sawa maana tunaongozwa na utawala wa sheria, sio miaka ile ambapo ilikua ni mwendo wa mapambio ya kumsifia rais na kuunga juhudi, yaani ilikua ukichepuka kidogo tu, inakula kwako.
Watu walikua wanapanga foleni ikulu kwenda kumuimbia rais mapambio wengine wanampa zawadi, wengine wanamuomba misamaha hata ya makosa ambayo hawajatenda, ilmradi msipishane kimtazamo.

Leo hii rais anakosolewa na kurekebishwa hadharani mbele ya umati akiwemo pembeni anaskliza. Ungethubutu enzi zile, ung'olewe makucha na meno. Wasiojulikana walikua wanazunguka kote wakikamata kamata watu.
 
Back
Top Bottom