Ikulumaliyawananch
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 339
- 533
mimi siabudu mtu ila na ongea ukweli, wakenya walimtumua moi na chama chake cha kanu. walimtumua mwai kibaki.nawewe unaabudu wakenya Miugu wako!!ondoa stress zako hapa!
mimi siabudu mtu ila na ongea ukweli, wakenya walimtumua moi na chama chake cha kanu. walimtumua mwai kibaki.nawewe unaabudu wakenya Miugu wako!!ondoa stress zako hapa!
haya mambo yajue hivi hivi tu,ukijua wanavyogongwa na wizi utavunjika moyo sana.mimi siabudu mtu ila na ongea ukweli, wakenya walimtumua moi na chama chake cha kanu. walimtumua mwai kibaki.
Nenda Ikulu ukamwambiekweli mimi mjinga ila wewe mpumbavu, angalia mnavyo lazimishwa kumwabudu sizoje kama mungu wenu.
kwahiyo hata wakulima wa korosho ni wapiga deal? wakulima wa mbaazi ni wapiga deal, wafungaji ni wapiga deal, wafanyakazi wa uma ambao hawajapata nyongeza ya mishahara tangu aigie ikulu nao ni wapiga deal, wote wanao bambikiwa kesi ni wapiga deal? wafanyabishara wanao funga biashara ni wapiga deal, wafanya biashara wadogo wanao lazimishwa kununua kitamburisho cha mjasiriamali ni wapiga deal ? ila walio uza nyumba za NHC kwa bei ya kutupa sio wapiga deal ! walio nunua ndege kupitia bungeni sio wapiga deal? walio jenga uwaja wa ndege chato bila kujadiliwa bungeni sio wapiga deal ?watanzania wangapi wamelia - ni wale wapiga deal!! ni kweli!
kwahiyo hata wakulima wa korosho ni wapiga deal? wakulima wa mbaazi ni wapiga deal, wafungaji ni wapiga deal, wafanyakazi wa uma ambao hawajapata nyongeza ya mishahara tangu aigie ikulu nao ni wapiga deal, wote wanao bambikiwa kesi ni wapiga deal? wafanyabishara wanao funga biashara ni wapiga deal, wafanya biashara wadogo wanao lazimishwa kununua kitamburisho cha mjasiriamali ni wapiga deal ? ila walio uza nyumba za NHC kwa bei ya kutupa sio wapiga deal ! walio nunua ndege kupitia bungeni sio wapiga deal? walio jenga uwaja wa ndege chato bila kujadiliwa bungeni sio wapiga deal ?
Kenya tunaendeshwa na katiba mpya na nzuri tuliyotengeneza wenyewe tofauti na ile ya mkoloni iliyoumba miungu watu. Rais Uhuru hana budi ila kuheshimu katiba maana imenyoosha urais hadi basi. Hata akiondoka waje wengne kumi, bado tutakua sawa maana tunaongozwa na utawala wa sheria, sio miaka ile ambapo ilikua ni mwendo wa mapambio ya kumsifia rais na kuunga juhudi, yaani ilikua ukichepuka kidogo tu, inakula kwako.
Watu walikua wanapanga foleni ikulu kwenda kumuimbia rais mapambio wengine wanampa zawadi, wengine wanamuomba misamaha hata ya makosa ambayo hawajatenda, ilmradi msipishane kimtazamo.
Leo hii rais anakosolewa na kurekebishwa hadharani mbele ya umati akiwemo pembeni anaskliza. Ungethubutu enzi zile, ung'olewe makucha na meno. Wasiojulikana walikua wanazunguka kote wakikamata kamata watu.
Kenya ya enzi za Kipande ilitisha zaidi ya Tanzania ya sasa
none senseMagifululi has worked to stabilize prices of commodities and inflation instead of raising salary.
He could have raised salary, but let prices of commodities to rise which could have had little effect.
Ever wondered why kenya keep raising salaries but they are hungry???
Magufuli achape kazi aisee
uko sahihi kabisa, semasikunyambulisha wengi namna hiyokwahiyo hata wakulima wa korosho ni wapiga deal? wakulima wa mbaazi ni wapiga deal, wafungaji ni wapiga deal, wafanyakazi wa uma ambao hawajapata nyongeza ya mishahara tangu aigie ikulu nao ni wapiga deal, wote wanao bambikiwa kesi ni wapiga deal? wafanyabishara wanao funga biashara ni wapiga deal, wafanya biashara wadogo wanao lazimishwa kununua kitamburisho cha mjasiriamali ni wapiga deal ? ila walio uza nyumba za NHC kwa bei ya kutupa sio wapiga deal ! walio nunua ndege kupitia bungeni sio wapiga deal? walio jenga uwaja wa ndege chato bila kujadiliwa bungeni sio wapiga deal ?
Unaropoka ww na una pombe za asubuhi.kweli mimi mjinga ila wewe mpumbavu, angalia mnavyo lazimishwa kumwabudu sizoje kama mungu wenu.
Kuhusu korosho na mbaazi mistake za kisoko ilifanyika.kwahiyo hata wakulima wa korosho ni wapiga deal? wakulima wa mbaazi ni wapiga deal, wafungaji ni wapiga deal, wafanyakazi wa uma ambao hawajapata nyongeza ya mishahara tangu aigie ikulu nao ni wapiga deal, wote wanao bambikiwa kesi ni wapiga deal? wafanyabishara wanao funga biashara ni wapiga deal, wafanya biashara wadogo wanao lazimishwa kununua kitamburisho cha mjasiriamali ni wapiga deal ? ila walio uza nyumba za NHC kwa bei ya kutupa sio wapiga deal ! walio nunua ndege kupitia bungeni sio wapiga deal? walio jenga uwaja wa ndege chato bila kujadiliwa bungeni sio wapiga deal ?
Msimfananishe Magufuli na Moi ninyi watu.Tanzania ya sasa hunikumbusha Kenya ilivyokua zaidi ya miaka ishirini iliyopita.