Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Hawa jamaa wana roho mbaya sijapata kuona. Halafu wanatudharau sana watanzania, I have been to Nairobi several time nimejikuta siwapendi kabisa.aisee roho zote nipewe lakini si kama hii jamani, yaani kufa kufaana ina maana hii kweli? kwamb 1,200 pipo dearth mean economical opportunities kwa wengine? no dear fried,.., mbona tunatungua semi zetu nzuri za kiswahili mchana kweupe? Kufa kufaana nadhani ina maana mwenzio anapokutwa na msiba basi weye jitahidi kumfaa kwenye kipindi chake kigumu, msaidie, mpe pole kwa maombolezo ya msiba au tatizo linalomkabii, si muda wa kukumbushia mabaya yake kama madeni na ugomvi mwingine, ni muda wa kumfaaa hata kama alikuwa adui ndio maana ya Kufa kufaana sio kama hii unayoipotray Ulukolokwitanga .
Sio vizuri kuombea jirani yako matatizo, lakini hawa jamaa matatizo yao ya kujitakia na yanachagizwa na roho zao mbaya.