MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,671
- 48,445
Ujio wa Obama ni muhimu, ila hamna anayemulaumu kutokuenda Kenya maana sababu alizotoa ni muhimu pia, haswa kisiasa Marekani. Kwa kuwachagua watuhumiwa, tulikua na sababu zetu, kwa maoni ya wengi wetu tunaelewa chanzo cha vita na wanaopaswa kuwa watuhumiwa. Hawa wawili walitumika tu kama sacrificial lamb, tuliwapa kura maana tunaelewa vile mchezo ulichezwa kuwahusisha, ila sasa hamna lingine bali wao kujitoa ICC.