UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Rais Obama amemaliza hotuba yake pale Soweto na ni kipindi cha maswali na majibu Kwa kutumia Teknohama live kutoka Nairobi ameulizwa swali kuhusu uhusiano wa Kenya kisiasa na kiuchumi na nchi za Magharibi na kesi inayowahusu viongozi wa juu wawili wa Nchi hiyo huko ICC na pia kwa nini hajatembelea kenya wakati katika mahojiano na kituo kimoja cha Nairobi aliwahi kusema kuwa angetembelea nchi yao. Obama anaendelea kujibu.
Chanzo: Sky News
Swali toka Nigeria
Ameulizwa kuhusu Ugaidi nchini Nigeria na Msaada wa USA kuutokomeza.
Amejibu kuwa wanatoa mafunzo, vifaa na kuziwezesha serikali ku-deliver kwa wananchi maana ugaidi pia unasababishwa na watu ambao wana frustration ya ugumu wa maisha. Obama anasema kuwa wao wanafikiri win win situation maana kama purchasing power ya wananchi itaongezeka wengi watanunua bidhaa za Marekani kama Ipads na nyinginezo
Source Start TV
Kwa sasa Anachukuwa Swali la Mwisho toka Soweto
Kaulizwa maswali mawili moja kuhusu elimu na matumizi ya Teknohama katika Ufundishaji.
Swali lingine ameulizwa juu ya Foreign policy za USA kuhusu mazingira
NAnajibu kuwa wapo mstari wa mbele katika hilo na wana mipango ya kupunguza GLobal Warming kwa kupunguza emissions ya pollutions.