Wakenya walivyo tuzidi maarifa na kigamboni yetu.

Wakenya walivyo tuzidi maarifa na kigamboni yetu.

mods:tunaomba urekebishe hapo kwenye konzo iwe konza nadhani mtoa mada kakosea.

JAMANI TUKUBALI HATAKAMA WANAJEGA SOKO WAMESHA TUZIDI,SERIKALI YA CHAMACHETU IMEZIDI POROJO.
 
Waafrika kwa kuishi na ndoto hatujambo maana Mji wa Dar hata ukiuona ktk ramani ya Mjarumani utakaa chini (ni miaka zaidi ya 60 imepita na hatukufanya hata nusu yake) Kenya naoi Ikiona ramani ya Nairobi au Kisumu toka mkoloni utashika tama... wamefanya nini?...hadithi za Abunasi na Mfalme..
 
Mna kumbuka Kijiji cha sayansi na technologia cha Arusha kilichokuwa chini ya late Prof Shayo?.hapa hakuna kitu ni mabingwa wa kukolimbana na kumwakeyembana hayo ndo tunayaweza na ni mabingwa akuna mfano wetu
 
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji mkubwa na wakisasa kuliko kigamboni utakao itwa konzo city.huku wakituachu watanzania tukìpiga blabla bila vitendo,tembelea wavuti hu ujionee www.konzocity.co.ke
Jamani tusome habari kamili na tuweze kuzieleze vizuri tuache kupotoshana sisi Watanzania sisi kwa sisi tukaonekana mbumbumbu; na hii habari haifai hapa kwenye jukwaa ka siasa; link ya hiyo site ya kenya sio kama ndugu yetu alivyoonyesha ni kama ilivyo apo chini - tofauti ni sio konzocity ni kanzocity - - dealing with African Silicon Savannah tatizo ni wakenya hawana ARDHI....

Na ni sio Airport ni mji unaojengwa njia panda za Airport kama vile Jomokenyatta...

http://www.konzacity.co.ke/

JAMATI TUPENI HABARI KAMILI SIO UONGO NA UDADISI WA UONGO
 
Ushaambiwa kenya middle class ni 44% while tanzania ni 12%,kwanini wasi-invest wakati engine(middle class) ya kudrive economy wanayo?

Ndio maana deacons tz wamefunga biashara(no middle class) Sisi mtumba nation wananchi hadi serikali yenyewe. Siyo siri Kenya has well developed middle class if in doubt shuhudia msongamano supermarkets (tuskys,ukwala nakumatt) hasa jioni watu wanapotoka kazini, The beehive of activity is simply amazing, suoermarket doors literally spews shoppers.
 
Wakati Watanzania wakiendelea kupigwe butwaa kwa kwa kitendo cha Wakenya kuanzisha ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege cha kimataifa karibu kabisa na mpaka wa Tanzania na Kenya huko mkoani Kilimanjaro wilaya ya Rombo Rongai,sasa wameanza plan ya ujenzi wa mji mkubwa wa kisasa na kibiashara zaidi ya Kigamboni,huku Tanzania ikiendeleza blabla nyingi bila vitendo,tembelea wavutu hu ujionee. www.konzocity.co.ke

Serikali ya Kenya siku zote ni wajanja sana. Hapa wameamua kujenga karibu na mpaka wa Tanzania ili kuwavutia Watalii wa kutembelea vivutio vya Kitalii kama Mlima Kilimanjaro.

Miaka ya nyuma Kenya ilijitangazia kuwa Mlima Kilimanjaro upo nchini Kenya. Ili kuvutia Watalii wapitie Kenya.
Tanzania tunaibiwa mbinu za kuvutia Utalii na sisi tumebaki kimya tunatafakari uchaguzi wa mwaka 2015. Siku zote hauna jipya.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kaka ni kweli kabisa! Kama Tanzania ikitaka kupanua uwanja wake wa ndege wa KIA au kuwekeza mradi mkubwa maeneo hayo, jamaa wa Kenya na wanaojiita wanamazingira watapiga kelele za kufa mtu kuwa mazingira yataharibiwa nasi tunawakubalia!
 
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji mkubwa na wakisasa kuliko kigamboni utakao itwa konzo city.huku wakituachu watanzania tukìpiga blabla bila vitendo,tembelea wavuti hu ujionee www.konzocity.co.ke
...na tayari thika road ipo na superhighway zenye fly overs wakati dar tukijivunia kidaraja cha manzese.
 
Ni bora hiyo Kigamboni Project(kama kweli ipo, i.e, siyo siasa) ingepelekwa Magharibi mwa Tanzania ili maeneo hayo nayo yawe active kiuchumi....hakika tungetawala biashara katika ukanda wa maziwa makuu

Kuna haja gani ya kung'ang'ania DAR wakati hata miundombinu yake imeshindwa ku-keep pace with its growth? Underground sewage system hovyo, bandari hovyo, barabara hovyo, reli hovyo, nishati hovyo and still tunataka kuongeza ukubwa wa DAR....Are we serious???
Wakati watanzania tukiendelea kipigwa butwaa na wakenya wakiendelea na ujenzi wa uwanja mkubwa nawa kisasa wa ndege karibu kabisa na mpaka wetu na huko rombo rongai,sasa wameanza ujenzi wa mji mkubwa na wakisasa kuliko kigamboni utakao itwa konzo city.huku wakituachu watanzania tukìpiga blabla bila vitendo,tembelea wavuti hu ujionee www.konzocity.co.ke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom