Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 304
- 213
Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani.
Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa au mihemko yenu.
Mmehangaika na Kasongo wenu mwaka wa tatu huu, hakuna Mtanzania aliyehangaika na nyie.
Mmedanganyika na Mzee wenu wa handshake hakuna Mtanzania aliyewagusa.
Mkajitekenya na gen z yenu mlikufa peke yenu hakuna Mtanzania aliyekuja kuchangia upuuzi wenu, hata huyo Lissu hakuja.
Leo tuna masuala ya kwetu, yanatuhusu WATANZANIA tuacheni tunyooshane wenyewe kama tulivyowaacha kwenye yale ya kwenu.
Jaji Mstaafu alee wajukuu zake, huyo bibi akae home na mume wake (kama anaye) msituletee KIHEREHERE CHENU hapa nchni kwetu.