Wakenya ni wachakachuaji sijapata ona!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya ni wachakachuaji sijapata ona!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jun 7, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa nasafiri kuelekea kijiji fulani mpakani mwa Kenya na Tz. Njiani dereva aliweka Redio free, na kulikuwa na kipinda cha Mambo Mambo. Topic iliyokuwa redioni kama mdahalo ni juu ya uwepo wa Kitchen Parties. Pande mbili zilizokuwa zinapinga zilitoa points zao.

  Safari ilivyozidi kuendelea, mawimbi ya RFA yalizidi kutokomea, na ilikuwa shida kusisikia. Gafla nilikuja kushtukia tunasikiliza tena redio kwa sauti nzuri. Kilichonishangaza ni kuwa Mtangazaji alitambulisha topic ya siku hiyo kuwa ni Kitchen Party, je ziwepo au zisiwepo? Alifafanua faida na hasara, na points zilikuwa zile zile nilizokuwa nimesikia RFA. Kusikiliza kumbe ilikuwa Redio fulani ya Kenya, ambao nao walikuwa wanaanza kipindi kinaitwa JAHAZI.
  Du, nikagundua kuwa kumbe hii redio walisikiliza kilichokuwa kinaendelea RFA, then mtangazaji akaja nacho kama topic yake amebuni.

  Kweli niliamini kuwa kweli Hata paper nyingi wanazopublish wakenya zinakuwa na cooked data...
   
Loading...