Vituo vya Radio vya Tanzania vinatia kinyaa, ni makosa matupu unaona kero hata kuendelea kusikiliza. Kuna vipindi vyengine ndio vimezidi, watangazaji wake wabovu kwelikweli kwenye kuzungumza kiswahili ilimradi tuu anajuwa kusema basi na yeye ni mtangazaji.