Wakenya Mmezidi sasa duuuu!!!

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
469
335
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU KENYA;

1. Mlima Kilimanjaro uko nchini Kenya.
2. Bonde la Olduvai Gorge liko nchini Kenya na Binadamu wa kwanza alivumbuliwa huko.
3. Mbwana Samatta ni mchezaji wa Kenya na sasa anachezea Genk ya Ugiriki.
4. Madini ya Tanzanite yanachimbwa nchini Kenya.
5. Diamond na Wema Sepetu ni waKenya, na hata Zari anajua hivyo.
6. Simba na Yanga, timu maarufu kuliko zote Afrika Mashariki, ni za nchini Kenya.
7. Bandari ya Mtwara iko nchini Kenya.
8. Magufuli na JK ni Wakenya.
9. Tanzania iko nchini Kenya.
10. Watanzania wote ni Wakenya.

Sounds funny ennh? Stuka waTZ, Tangaza nchi yako maana waKenya wamechukua kila kitu kutuhusu!

Mtatiro J.
 
Ndio maana Mugabe aliwaita wezi wakapiga kelele sana kuwa wanaonewa na juzi juzi tu Rais wao Uhuru kawaumbua yaani wanaiba hadi visivyoibika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom