PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Itakuwa nchini kwao wanasafiri na kuingia bila utaratibu wa nchi zao
Walishamzuia Miguna Miguna pale Jomo Kenyata hadi kumchania suit.

Napenda mifano mizuri ila sipendi wanaotuhimiza tuige wakenya...sioni kama wana cha maana cha kuigwa.
 
Itakuwa nchini kwao wanasafiri na kuingia bila utaratibu wa nchi zao
Ndio mana tunahitaji elimu sana.
Kasome kwamba mojawapo ya malengo ya uanzishwaji wa jumuiya za kikanda ikiwemo EAC au East African Community ni
Free movement of people and goods across the region,. Sasa kama haya mambo shuleni ulikariri tu Kwa ajili ya kujibia mtihani na ukaja kusimamiwa na darasa la Saba au form four wa uvccm ambaye AMEAMUA kuingiza siasa kwenye professionalism na ambaye hajui mikataba na makubaliano ya mikataifa na kikanda ambayo Tanzania ni signatory lazima utajibu hivi au utafanya kama walivyofanya!
The EAC Common Market Protocol

Signed: 20th November 2009
Came into force: 1st July 2010

This is a legally binding agreement between member states that aims to create a single market among the EAC countries.

Article 10: Free Movement of Persons

“The Partner States hereby guarantee the free movement of persons who are citizens of the other Partner States within their territories
.”

Article 13: Free Movement of Workers

“Partner States shall ensure non-discrimination of workers from other Partner States
.”
 
CCM na Samia wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaogopa hata vivuli vyao vyenyewe sasa.
Kwahiyo hamtaki mamlaka zijiridhishe juu ya wanaoingia nchini? Sasa Uhamiaji mtakua mnawalipa mishahara ya kazi gani?
 
Wewe umetahayari? Kuna maneno Huwa mnayatumia hata maana yake hamuijui na hata uhalisia wake katika maisha haupo. Ujinga ni mwingi
Martha kazuiliwa kuingia nchini au alisubirishwa?
 
Ndio mana tunahitaji elimu sana. Kwa bahati mbaya wajinga kama wewe ni wengi na ni miongoni mwa askari wetu na viongozi tulionao.
Kasome kwamba mojawapo ya malengo ya uanzishwaji wa jumuiya za kikanda ikiwemo EAC au East African Community ni
Free movement of people and goods across the region,. Sasa kama haya mambo shuleni ulikariri tu Kwa ajili ya kujibia mtihani na ukaja kusimamiwa na darasa la Saba au form four wa uvccm ambaye AMEAMUA kuingiza siasa kwenye professionalism na ambaye hajui mikataba na makubaliano ya mikataifa na kikanda ambayo Tanzania ni signatory lazima utajibu hivi au utafanya kama walivyofanya!
Mbona kesi za sheikh ponda hawakuja?
 
Angalia CCM walivyo wajinga, Wakati wanamzuia Martha Karua wakidhan ndo Sasa Kesi haitamulikwa kimataifa.

Wanasahau kua kesho Mabalozi na Wawakilishi wa balozi mbali mbali Duniani, watakuwepo, wataona na wataitangazia Dunia vilevile.

Hivi CCM huku hamna mwenye Akili kabisa kabisa???.
CCM inaongozwa na watu wajinga sn
 
Back
Top Bottom