PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ama kweli kuna viziwi:

IMG_20250518_202539.jpg

IMG_20250518_202446.jpg

Kwamba kama mshitakiwa ana hatia, kumbe hofu ya nini?
 
CCM na Samia wanazidi kuchanganyikiwa. Wanaogopa hata vivuli vyao vyenyewe sasa.
Mkuu 'macho_mdiliko', siku zote (nyingi) kwa nyakati hizi sikubaliani na CCM kama chama.

Hapana, ni lazima sasa tutambue na kuacha kuona kinacho endelea sasa hivi kwa kisingizio cha CCM, ambayo, ni kweli imekuwa mbovu kwa muda mrefu sasa.

Haya ya sasa ni zaidi ya CCM. Tuyatambue kwa jinsi yalivyo.
 
wasukuma wanasema kenge hakomi hadi apate kipigo cha kutoa damu masikioni, hawa mungewaacha tukadeal nao baada ya kesho
 
Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn Ngugi na Gloria Kimani.

Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili asubuhi, Karua alisema kuwa pasipoti yake ilichukuliwa na kupelekwa kwa msimamizi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, na alizuiliwa kwa zaidi ya saa moja bila maelezo yoyote.

Karua alieleza kushangazwa na hatua hiyo, hasa kwa kuzingatia kuwa yeye ni raia maarufu wa Kenya na mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

"Nilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa tatu asubuhi, ambapo maafisa wa uhamiaji walikabidhi pasipoti yangu kwa msimamizi. Tangu wakati huo nimekuwa nikisubiri kwa zaidi ya saa moja huku wakishauriana na wakuu wao. Ninasikitishwa na hali hii, kwani kama mwanachama wa EAC, haipaswi kuwepo vizuizi visivyoeleweka kuingia katika nchi mwanachama," alisema.

Karua pia alifafanua kuwa wenzake, Gloria Kimani na Lynn Ngugi, nao wanazuiliwa. Alisema wote walialikwa na Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki, kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria wa Kenya, Faith Odhiambo, pamoja na Chama cha Wanasheria wa Uganda.

View attachment 3337923
Safi kabisa, hao Malaya wakafanyie huko huko Nairobi umalaya wao.
 
TOKA MAKTABA:

KESI YA UHAINI YAVUTA HAMASA

"KENYA ITAWEKEA TANZANIA VIKWAZO IWAPO LISSU HATAACHIWA HURU!"- MBUNGE CALEB AMISI AKIWASHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=WkN0LcH7f0Y

Not helpful, not helpful at all!.

Making matters worse for us all, including for Tundu Lissu himself.

When you're dealing with brain dead leaders such as Samia is, you do not use that kind of language, lest you want to be her own mirror image.
 
Shida ni wajinga wanaoongoza nchi na wenye elimu wako kimya sababu ya kuhofia kifo. Wajinga Huwa hawana hoja Ila wanaamini katika silaha
"Kuhofia kifo"? Pengine wachache. Wengi ni maslahi binafsi kuyaweka mbele zaidi kuliko maslahi ya wengi.
 
Tanzani... Inanuka Kila Kona ya Dunia.
Kisa mjinga kapewa rungu
Nikuhakikishie, hiyo ni kazi ya mmoja wa "Genge la askari" analolitegemea kumbakisha madarakani kwa gharama yoyote ile.
Sasa kunazidi kupambanuka zaidi!
 
..Martha Karua amealikwa na chama cha wanasheria kuja kusikiliza kesi dhidi ya Tundu Lissu ambaye ni kiongozi mstaafu wa chama cha wanasheria Tanganyika.

..Shura ya Maimamu na Bakwata walipaswa kuwaalika wenzao wa Kenya kuja kushuhudia kesi ya Sheikh Ponda.
EEEeeeeennHEEEEeeeeee!

Huu ukufunzi/u-profesa ni kazingumu sana katika mazingira kama haya tuliyomo hivi sasa.
Hivi mtu kama huyo kweli unafikiri anaweza akaelewa somo kama unavyo liwasilisha kwake? Hata uwe stadi namna gani, haiwezekani akakiri kuwa ameelewa unachomfundisha.
 
Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn Ngugi na Gloria Kimani.

Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili asubuhi, Karua alisema kuwa pasipoti yake ilichukuliwa na kupelekwa kwa msimamizi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, na alizuiliwa kwa zaidi ya saa moja bila maelezo yoyote.

Karua alieleza kushangazwa na hatua hiyo, hasa kwa kuzingatia kuwa yeye ni raia maarufu wa Kenya na mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

"Nilitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa tatu asubuhi, ambapo maafisa wa uhamiaji walikabidhi pasipoti yangu kwa msimamizi. Tangu wakati huo nimekuwa nikisubiri kwa zaidi ya saa moja huku wakishauriana na wakuu wao. Ninasikitishwa na hali hii, kwani kama mwanachama wa EAC, haipaswi kuwepo vizuizi visivyoeleweka kuingia katika nchi mwanachama," alisema.

Karua pia alifafanua kuwa wenzake, Gloria Kimani na Lynn Ngugi, nao wanazuiliwa. Alisema wote walialikwa na Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki, kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria wa Kenya, Faith Odhiambo, pamoja na Chama cha Wanasheria wa Uganda.

View attachment 3337923

1. Ikiwa Watanzania tuliwasaidia watu wa ANC ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Makaburu kule nchini Afrika Kusini.
2. Ikiwa Watanzania pia tuliwasaidia watu wa ZANU ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wazungu (Waingereza) kule nchini Zimbabwe.
3. Aidha, ikiwa Watanzania vile vile pia tuliwasaidia watu wa FRELIMO ili waende kupindua Utawala wa kidhalimu na usiotenda Haki wa Wareno kule nchini Msumbiji.

Je, ni kwa nini basi majirani zetu wa Kenya au Uganda nao wasiwe na Haki ya kuwasaidia Wananchi wa Tanzania ili waweze kuondokana na Utawala dhalimu na usiitenda Haki wa CCM hapa nchini sawa sawa kabisa na vile ambavyo waTanzania walifanya kwa majirani zao wa Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji?

Remember:
"Injustice somewhere is a threat of justice everywhere."
By Martin Luther King Jr.

HAKI haina mipaka, wala Haki haijali mipaka ya nchi.

Good for the Jews is good for the gunners, and bad for the Jews is also bad for the gunners!
 
Back
Top Bottom