Kuna siku nilikuwa na shida, king'amuzi kilileta tatizo nikawapigia kupata ufumbuzi,,,,,,majibu waliyokuwa wanatoa walinifanya siku hiyohiyo kwenda kununua king'amuzi cha azam.Naomba kutaarifu wahusika waende zuku customer care wakenya wanaopokea simu na kujifanya in watanzania wamejaa madharau,kazi wanayofanya zuku inaweza kabisa kufanywa na vijana wa kitanzania,wahusika fanyieni kazi tafadhali
Cc uhamiajiNaomba kutaarifu wahusika waende zuku customer care wakenya wanaopokea simu na kujifanya in watanzania wamejaa madharau,kazi wanayofanya zuku inaweza kabisa kufanywa na vijana wa kitanzania,wahusika fanyieni kazi tafadhali
Naona Tunaingia Kutangaza Ving'amuzi sasaBaada ya kutumia Zuku,na Azamtv by the way c ulikubali Zuku ndiyo ina ubora???wenzetu wako very clear hawaonyeshi nusu kaputi kama star,times nk.......