Wakenya Buana!!!

Wengine ndio hawa hapa. Wakenya Celliphine Chespol na Purity Kirui
Nambari mbili na tatu kwenye mbio za Steeplechase mita 3,000 kwa wanawake.
 
Sisi kwenye majungu tuko vzr kuliko wakenya,kwa hilo tunahtaji kupewa tuzo!
Haya mambo yanahitaji tu mazoezi kwa wingi na kujituma kweli kweli. Wengi wao wakitoka Australia watafika U.K kukimbia kwenye London Marathon. Kabla ya michezo ya Commonwealth walikuwa kule Ufaransa kwenye Paris Marathon. Heshima kwao, wanakimbia kutoka January hadi Desember. Alafu wana hela kupindukia.
 
Hawa inabidi wawekewe mbio zao za peke yao, maana wanaharibu maana ya ushindani na nchi nyingine sasa.

Teh teh teh.
 
Hawa inabidi wawekewe mbio zao za peke yao, maana wanaharibu maana ya ushindani na nchi nyingine sasa.

Teh teh teh.
Hahaha, 😀 itabidi watupe heshima sisi watu kutoka Afrika Mashariki. Hamna cha ziada jombaa.
 
Kilimanjaro marathon 2018. Washindi, nambari moja, mbili, tatu hadi kumi, wote wakenya! Kwa wanawake. Nambari moja, mbili, tatu hadi tano, wote wakenya!
 
Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…