Mambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa
1. Uchawi
2. Wivu na chuki
3. Fitna na majungu kazini
4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine
5.Ukuwadi na umalaya
Daah basi ushanikosa flat screen hata nikijiiba ubandani kwenda kuangalia yaliyomo yamo nikikutwa na mama Bhoke ambaye yeye ni Chogo atashindwa kunipikia 'uuchi' wa moto mura!