pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,354
Kwani Tanzania warembo wapo?Tanzania hata umiss umetushinda. Dah
Hawapo ndio maana nasema hata umiss umetushinda.Kwani Tanzania warembo wapo?
Labada alijiteka u never know! Ndo maana baba Tifah kaenda kuchukua mrembo kwa Museven!Hawapo ndio maana nasema hata umiss umetushinda.
Yule miss wa mwaka jana sijui kapotelea msitu upi.
Majungu yanapikwaje? 😀Tuundiwe mashindano yetu ya kupika majungu
Kwese Sports, Supersports pia sijui ni SSP5 na 7.NI CHANEL GANI INAONYESHA KING'AMUZI CHA AZAM
Wakenya wamkomaa mno we waone kama wanakula chuma aku sie hatuweziSijui sie tunaweza nini??