Wakenya Acheni Utani

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,265
17,119
IMG-20160417-WA0014_zpslmvduwdo.jpg
 
hihihi kilimanjaro yao
ziwa victoria lao
samatha mbwana wao......................
hata samunge ya babu wa loliondo walisema yao.......
now kigamboni bridge yao?

:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:
 
Duh anyway wanatupromote since sisi wenyewe hatuwezi kutumia social networks kutangaza uzuri wa Tanzania yetu kimataifa as they do for us.
 
HUYO ALIPOST HYO IMAGE IN HIS INDIVIDUAL CAPACITY KAMA JAMAL. SO WAKENYA INAANGLIA WAPI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom