Kila kitu kinakuwa na kiasiKuna hatari ya kukanyagwa kama utakuwa wa kujishusha mara kwa mara.
Safi sana. Yaani wanawake Wana mambo ya ajabu sana, wakiwa ndani ya ndoa wanajua wamemaliza na wanasahau kuwa kati ya wanawake yeye aliechaguliwa na haizuii kuachwa na kuchagua mwingine. Pia wanasahau kuwa wakati wa kumtongoza haukupangiwa na mtu umchague yeye wala yeye hakukupangia. Kaza Uzi kaka πͺNimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Piga mashine Acha uvivuNimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Kila la heriNimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Kuna wanawake wanahitaj kupigwaMkuu, jibu alilonipatia nikajikuta nishapiga mtama na ngumi juu. Nilishindwa kabisa ku' control hasira zangu.
Pole mkuu. Na huyu alikuwa na tabia kama hizo " mara kama wewe ni mwanaume nipigee nipigeee sasa" kauli kama hii ikikutana na hasira za dunia lazima ufanye tukio. Sitarudia tena, kuna member wamenishauri hawa viumbe wanatembea na matatizo mengi sana ya afya.Kuna wanawake wanahitaj kupigwa
Wa kwangu ana kamkono sana yaan anapenda kunipima nguvu siku moja niliwah kuamua kumpiga lakin hakusikia
Siku hz nimemuacha maana ilitokea kama mara mbili tukivutana tunaharibu vitu au tunamwangukia mtoto mchanga nikaona hii ni hasara
Yaan hata mim ni hvyo hvyo kuna wakat unaaribikiwa na usafir njian unarud nyumban saa 5 au 6 usiku ukifika ni kelele tu hajui ni jinsi gan nateseka huko barabarani
Game ya juzi barca na madrid kidogo nimpige ila nikajifanya kuwa mjinga,kanikalisha nje nusu saa,kuingia ndani napo makelele na anataka tupigane
Aiseee,na mim naelekea kuwa singo,maisha ni mafupi nataka kuyafurahia na sio kuteseka eti kisa nina watoto
Ingawaje sijakamilika ninako kamchepuko mara moja moja huwa nalala nje kwasababu ya kamchepuko,
Wanawake uwe na hela au hakuna hela matatizo ni yale yale...Au huna hela? Maana ndoa za sikuhizi mwanaume kama huna hela utateseka sana...yaan nje mkeo atasifiwa ni mvumilivu kumbe wewe ndiyo unavumilia jeuri na kejeli ndani
Shindwa pepo, shindwa shetaniWee kwanza ulishavurugwa na mapenzi ata kuolewa usioleww baki single
Ukatili tuUngempiga mateke na makofi ili hata akienda nyumbani kwao awe amevimba uso wake
Kwahiyo unamshauri mshkaji ajishushe kama simba jike kwa Simba dume (fahari)?Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja!
Mpaka hapa ulitakiwa umpe nauli tena ukanunue na kitasa kipya kabisa alafu ukae zako kimnya hakuna haja ya kumpiga.Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Sio kwenye kila hoja ya ndani ya nyumba nilazima Mwanaume uibuke mshindiKwahiyo unamshauri mshkaji ajishushe kama simba jike kwa Simba dume (fahari)?
Yaani amuweke huyo mwanamke mjini afu ikitokea instance ya jeuri na kibri napo ajishushe? Aisee kweli tumeumbiwa mateso
Hapana hayo ndiyo mapenzi menyeweUkatili tu
HajarudiNipo tayari wanipeleke tu
SadWanawake uwe na hela au hakuna hela matatizo ni yale yale...
Amina AminaNashukuru Mkuu, ni kweli tunapitia nyakati ngumu, lakini tukijitahidi kwa pamoja na kumtegemea Mungu, tunaweza kupata amani na suluhu. Mungu atupatie njia.
100% wanajionaga hivyo vilojoleo vyao kama TanzaniteAkienda aende na asirudi. Mwanamke ukimuendekeza anakugeuza msukule wake.
πππWanawake uwe na hela au hakuna hela matatizo ni yale yale...