Wake zetu nendeni na wakati

Wake zetu nendeni na wakati

Tatizo wengine inakuwa promosheni tu, kabla hamjaoana anajitahidi kila namna, ila mkishaoana tu ndio anakomaa na kifo cha mende
Kama kabla ya ndoa alikuwa machachari unamkubali basi Kuna tatizo sehemu.
 
Habari wanajamvi
Hivi sasa tupo karne ya sayansi na teknolojia, na sasa tupo kwenye 4G tunaeelekea kwenye 5G. Ila wake zetu bado wako analogia hasa linapokuja suala la kugegedena. Unakuta mwanamke anang'ania tu kifo cha mende anakwambia mi ndio nnayoiweza, sasa siku hizi watu wanapiga hadi samasoti we unang'ania tu kifo cha mende. Hembu nendeni na wakati, siku moja unamwambia mume wangu leo nna hamu ya kwenda Guest, ukifika kule unampigia samasoti hadi mwenyewe anapgawa kwamaba mke wangu yule yule au mwingine, halafu uone kama kila weekend hakutoi out.
Mwambie Willy Wills kuwa mke wake anayapenda bali yeye analaza damu! Sasa hivi lazima mke wako umamber Rutty etc au siyo anaenda kwa ex wake
 
Kwa hiyo tatizo nnalo mimi au?
Sio lazima iwe wewe. Inawezekana ni yeye, anachokosea hatambui madhara yake. Atakuja kulia kilio Cha mbwa koko. Ni Bora mume atoke nje kwa sababu nyingine lkn si kwa kutoridhishwa kimapenzi na mke
 
Habari wanajamvi
Hivi sasa tupo karne ya sayansi na teknolojia, na sasa tupo kwenye 4G tunaeelekea kwenye 5G. Ila wake zetu bado wako analogia hasa linapokuja suala la kugegedena. Unakuta mwanamke anang'ania tu kifo cha mende anakwambia mi ndio nnayoiweza, sasa siku hizi watu wanapiga hadi samasoti we unang'ania tu kifo cha mende. Hembu nendeni na wakati, siku moja unamwambia mume wangu leo nna hamu ya kwenda Guest, ukifika kule unampigia samasoti hadi mwenyewe anapgawa kwamaba mke wangu yule yule au mwingine, halafu uone kama kila weekend hakutoi out.
"Tukiwezeshwa tunaweza"!!
 
Sio lazima iwe wewe. Inawezekana ni yeye, anachokosea hatambui madhara yake. Atakuja kulia kilio Cha mbwa koko. Ni Bora mume atoke nje kwa sababu nyingine lkn si kwa kutoridhishwa kimapenzi na mke
Tena mwanamke anatakiwa awe mbunifu kila siku afikirie vipi amteke zaidi mumewe sio kumkera
 
Wote mnatakiwa kuwa wabunifu. Yeye awe mbunifu wewe umekaa tu hujiongezi...utapata unachokitafuta.
 
Back
Top Bottom