Wake zetu nendeni na wakati

Wake zetu nendeni na wakati

Mkeo anaamua jambo usilolitaka na wewe unakubali tu hivihivi?udhaifu huo jombaa,Mkazie.
Tatizo kuna maeneo ubabe haufanyi kazi kama kugegeda, maana unaweza kosa kabisa
 
Tatizo kuna maeneo ubabe haufanyi kazi kama kugegeda, maana unaweza kosa kabisa
Sijazungumzia suala la ubabe mkuu,Mume anatakiwa aheshimiwe,ukiwa mume imara mwanamke hawezi hata kuwa na ubavu wa kukuletea hizo pigo za staili moja.Nidhamu lazima iwepo ndani ya nyumba na wewe ndio wakuijenga hyo nidhamu.Kwanini akukatalie,kwanini ajiamulie anavyotaka yeye,hyo jeuri anaitolea wapi,lazima kutakuwa kuna kitu hakiko sawa baina yenu,fanya tathmini kaka.
 
Back
Top Bottom