Wake zetu na Ma Housegirl

Wake zetu na Ma Housegirl

.. While other thing remain constant!

Nafikiri mkeo anaweza fanya hivyo kwa sababu ya ujauzito.. Yani anakasirishwa na ishu ndogo ndogo.

Pili inaweza kuwa ni hulka yake kufoka foka ovyo.

Tatu huenda dada nae anamapungufu yake,, na yumkini mama anayajua zaidi coz anakuwa nae mda mwingi.

Mwisho kabisa.. Nashauri utatue hyo ishu mdogo mdogo usije kuuziwa kesi lol.. Ukizingatia wife yuko ktk status hyo mmmmm..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanawake wakiwa na hali hiyo huwa na hasira sana, yaani kitu kidigo tu kinamkwaza.
Hivyo unapaswa kuizoea hiyo hali.

Saudari ni kweli uja uzito unasababisha tabia za ajabu. Ila nyingi ni zile tabia zilizofichwa. Mfano mtu anapolewa anaonyesha upande wake wa pili ambao huwa umejificha.

Mtazamo wangu, ni utu wa mke nau question! Nafikiri tabia zake ni tatizo

Pia je huyo binti anavutia? Kwa maana umbo au sura. Hiyo inafanya mke apoteze confidence na wivu kumtawala

Pia inaonekana jamaa ni gentleman, anautu ana upendo. Hii ni kwa jinsi alivyoeleza maisha ya binti mwenyewe. Mke anamaind hiyo hali. Na mke anajaribu ku exercise power kwa poor house girl.

By the way mshauri na jaribu kumwelewesha maisha, kuna kitu wanaita pay forward. Ukiwa mwema kwa hg basi atalipa kwa kwa kuwa na mapezi makubwa kwa kiumbe chenu kitarajiwa. Na kinyume chake pia ni sahihi. Hii elfu 30 kwa mwezi is nothing ila ni shida tu
 
Huyu msichana alitafutwa na mama yake mdogo na mke wangu. Huyu ni msichana wa kwanza kuanza kuishi nae ndani ya nyumba, msaidizi wa kwanza alikuwa anakuja na kuondoka na alikuwa na familia(mume na mtoto)
Ok kama ni msichana wake wa kwanza kuishi naye, kumbe huitaji kumlaumu sana. Pengine anahitaji maelekezo. Baadhi ya wadada wana hulka ya kuwadharau na kuwanyanya wafanyakazi wa ndani. Muonye kwa upendo, naamini ataelewa.
 
njia rahisi kuliko zote muambie mkeo akuachie umfundishe na kumsimamia kazi hgal manake una ufanisi mkubwa zaidi. hapo utauona mtiti wake. mahausigelo ni headache, mie nasaka form 6 failure saahizi manake hata form 4 kanishinda. how on earth does someone fail to remember taka zinawekwa kwe ye dustbin na sio kurusha mlangoni!
Kitendo cha kuomba umfundishe kazi hg utasabisha tatizo zaidi. Nafikiri mama ndio alitakiwa kuifanya hiyokazi hata kama atakuwa anatimiza maagizo ya baba

Kingast mbona nawe una-generalise mambo, hiyo issue ya dust bin ni issue ndogo, kinachotakiwa ni kumuelimisha. Si swala la form 4 au chuo bali ni background. Wapo wafanyakazi ambao wamesomea kazi ila si wa 30elfu, na pia kuna time maalum ya kazi sio masaa 18 per day
 
Anamfokea msichana wakati yeye waeza kuta ndani kwake ni kama gheto.....ni vile tu ma HG hawaingii vyumbani mwa mabosi wao ila wengi wao suala la usafi ni kawaidaaaaaaaa saaaaaanaaaaaaa (normal temperature)

Watabisha hapa mpaka kuche ila kina dada punguzeni kuwachukulia hawa poor girls kama mashine ya kokoto (crasher) nao wana utashi...............na migomo baridi wanaijua....na ndo inayowaumiza!!!!!!!!

Kwa wanaume .......hivi mmewahi kuachiwa house girl wakati mama say yuko short course na ukawa unaangalia perfomance na ku compare?????...........ni kama GIGO....little so to say
 
ndo hapo panapoboa. unaelimisha mara thelathini na ngapi? yaani ningempata wa kumlipa laki aje only 2 hours per day mbona ningeshukuru. the only two things i need a maid for ni kufua na kupasi onve weekly and cleaning up daily! ila awe na akili sasa
hivi kuna mtu anafurahia kugombeza maid? mtu anaeshinda akiangalia bongo movies na hata hiyo tv ashindwe kufuta vumbi! khaaa!
Kitendo cha kuomba umfundishe kazi hg utasabisha tatizo zaidi. Nafikiri mama ndio alitakiwa kuifanya hiyokazi hata kama atakuwa anatimiza maagizo ya baba

Kingast mbona nawe una-generalise mambo, hiyo issue ya dust bin ni issue ndogo, kinachotakiwa ni kumuelimisha. Si swala la form 4 au chuo bali ni background. Wapo wafanyakazi ambao wamesomea kazi ila si wa 30elfu, na pia kuna time maalum ya kazi sio masaa 18 per day
 
Ok kama ni msichana wake wa kwanza kuishi naye, kumbe huitaji kumlaumu sana. Pengine anahitaji maelekezo. Baadhi ya wadada wana hulka ya kuwadharau na kuwanyanya wafanyakazi wa ndani. Muonye kwa upendo, naamini ataelewa.

Tumesoma shule na vyuo na huko tumekutana na watu wa aina tofauti.......the diff in social classes inatosha kwa bosi kumuelewa ni dada wa aina gani na inferiority complex aliyonayo in the given mileau.....kuwa wa kwanza ni scape goat tu...

Imagine angekuwa ni mdogo wa mume wa kuzaliwa with the same capacity.......I assure you treatment ingekuwa tofauti
 
hii haitaapply kwa wote japo nakubali wapo wanawake wachafu cum wavivu. hapo kwenye short course mie nilipata credit kwa Paw aisee, niliondoka home for two good years. nusu ya muda kwenye simu ilikuwa mashtaka about hgal. jibu langu lilikuwa ndo walivyo, tolerate. si unaonaga mie nagomba, usije ukamchinja mtoto wa watu
sasa hivi heshima tele!
ndo maana nimemshauri ammanage maid mwenyewe labda atapata better approach
Anamfokea msichana wakati yeye waeza kuta ndani kwake ni kama gheto.....ni vile tu ma HG hawaingii vyumbani mwa mabosi wao ila wengi wao suala la usafi ni kawaidaaaaaaaa saaaaaanaaaaaaa (normal temperature)

Watabisha hapa mpaka kuche ila kina dada punguzeni kuwachukulia hawa poor girls kama mashine ya kokoto (crasher) nao wana utashi...............na migomo baridi wanaijua....na ndo inayowaumiza!!!!!!!!

Kwa wanaume .......hivi mmewahi kuachiwa house girl wakati mama say yuko short course na ukawa unaangalia perfomance na ku compare?????...........ni kama GIGO....little so to say
 
ndo hapo panapoboa. unaelimisha mara thelathini na ngapi? yaani ningempata wa kumlipa laki aje only 2 hours per day mbona ningeshukuru. the only two things i need a maid for ni kufua na kupasi onve weekly and cleaning up daily! ila awe na akili sasa
hivi kuna mtu anafurahia kugombeza maid? mtu anaeshinda akiangalia bongo movies na hata hiyo tv ashindwe kufuta vumbi! khaaa!

tHE DIFF in understanding capacity ndo inawapa relationship mliyonayo......HG na boss

Why do you expect a spoon to be used as a spade and give the same results as it could be with the spade itself?????

By the way yapo makampuni ya usafi kama vipi nenda ukaombe huduma ya usafi nyumbani kwako mtaingia contract na mtapata huduma daily with no excuse ya ugonjwa wala kufiwa as wana pool ya staff

Cheap is expensive...... I once heard this...
 
hii haitaapply kwa wote japo nakubali wapo wanawake wachafu cum wavivu. hapo kwenye short course mie nilipata credit kwa Paw aisee, niliondoka home for two good years. nusu ya muda kwenye simu ilikuwa mashtaka about hgal. jibu langu lilikuwa ndo walivyo, tolerate. si unaonaga mie nagomba, usije ukamchinja mtoto wa watu
sasa hivi heshima tele!
ndo maana nimemshauri ammanage maid mwenyewe labda atapata better approach

Ha ha haaaaa......its not generalizing mamii ila wapo tena weeengi.....mijini wananukia kama majini....vyumbaniiiii hakufai
Kufua hawajui......ila wakali kwa ma Hgal haoooo!!!!!!!

Mie niliachiwa na kuwa namchukulia kama mdogo wangu ambaye ni slow learner I tell you alibadilika na niligundua hapendi kufokewa na akiwa na woga hafanyi vitu kwa mpangilio........she couldnt work under pressure masikini na tayari alikuwa anamuogopa sana wife........my wife was expecting much from poor her within a short time of induction...she was incapable of the pace........wakasafiri wote wakati wa likizo kwenda ukweni......mum in law is very humble kukaa naye kwa miezi mitatu ya maternity alirudi akiwa mtu tofauti na alimtunza mwanangu kwa mwaka mzima......

Wakiwezeshwa wanaweza jamani.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Saudari ni kweli uja uzito unasababisha tabia za ajabu. Ila nyingi ni zile tabia zilizofichwa. Mfano mtu anapolewa anaonyesha upande wake wa pili ambao huwa umejificha.

Mtazamo wangu, ni utu wa mke nau question! Nafikiri tabia zake ni tatizo

Pia je huyo binti anavutia? Kwa maana umbo au sura. Hiyo inafanya mke apoteze confidence na wivu kumtawala

Pia inaonekana jamaa ni gentleman, anautu ana upendo. Hii ni kwa jinsi alivyoeleza maisha ya binti mwenyewe. Mke anamaind hiyo hali. Na mke anajaribu ku exercise power kwa poor house girl.

By the way mshauri na jaribu kumwelewesha maisha, kuna kitu wanaita pay forward. Ukiwa mwema kwa hg basi atalipa kwa kwa kuwa na mapezi makubwa kwa kiumbe chenu kitarajiwa. Na kinyume chake pia ni sahihi. Hii elfu 30 kwa mwezi is nothing ila ni shida tu

Kusema ukweli ninavyomuangalia naona kama namuona mdogo kama mtoto wa dada yangu. Ni wa kawaida hana chochote extra ordinary.
 
Ok kama ni msichana wake wa kwanza kuishi naye, kumbe huitaji kumlaumu sana. Pengine anahitaji maelekezo. Baadhi ya wadada wana hulka ya kuwadharau na kuwanyanya wafanyakazi wa ndani. Muonye kwa upendo, naamini ataelewa.

Niliweza kuongea na mke wangu kwa utaratibu. Nimemueleza ampe nafasi huyo dada kama mtoto, amfundishe dada bado mgeni vingi hajui. Asichukie akivunja vitu au akirudia rudia makosa. Bado anahitaji kujifunza! Naona wife kidogo ameelewa na kulegeza msimamo maana palikuwa hapatoshi.

Binti nimemuonesha upendo na kumuuliza mfano ameshindaje, anajisikiaje(mbele ya mke wangu). Pia hata issues kama za kutoa vyombo usiku, nilifanya mwenyewe sio kusubiria mpaka aje atoe. Yote ni kumuonyesha kuwa yeye ni familia pia, sio eti mfanyakazi!!

Anyways am taking it slow, ngoja tuone itakuwaje.
 
Kwa uzoefu wangu wa kuishi na hg zaidi ya 10, sijawahi kukaa na mke wangu kwa maswala kama hayo ili nisijeingizwa kwenye matatizo ambayo hayapo. Sanasana kama unaishi ushuani hakuna tatizo hata mbadilishe kila baada ya miezi 2. With time mke wako atashangaa mbona kila akimgombeza hg wewe uko kimya huchangii kitu, atajirekebisha tu na atakuuliza siku moja akiona mahg wanaondoka sana ndipo utakapomueleza. KAA kimya na usile kabisa hg maana wako tempting kweli na hasahasa unaponyimwa k.
 
Tumeishi nae sasa ni wiki moja
Mke wangu alikuwa anafanya hizo kazi lakini pia kulikuwa na dada msaidizi aliyekuwa anakuja na kuondoka
Mke wangu ni mama wa nyumbani kwa sasa
Mkuu Tigga maisha ni kusaidiana lakini katika kusaidiana ijulikane wazi sababu ya msaada,inawezekana mama hawezi kutimiza majukumu yote ya nyumbani kulingana na namna mnavyoishi ila kama yeye yupo nyumbani basi hakikisha kazi zile muhimu ambazo zinahusu mahusiano yenu anazifanya mkeo si kumuachia housegirl.

Ukiona binti wa watu anateseka usikae kimya kwa sababu tu utaonekana unataka jambo fulani au kuhitaji bali hakikisha nyumba yako inakuwa imara kwa kufuata misingi bora ya maisha.
 
Hali halisi ya wasichana wa ndani mama usipokuwa mkali wanakuchezea kwa sababu unakuta hafanyi kazi kama zinavyotakiwa pili mwanaume kugundua mapungufu ya maid ni ngumu sana jambo muhimu ni kumuuliza huyo dada kama anataka kazi au laa na kama yupo tayari mwambieni afanya kazi kama inavyotakiwa
 
Pole sana kaka, swali ni kwamba, huyo ni hg wa ngapi tangu muoane?
Hata hivyo, kama ni hg wa kwanza basi kuwa kama baba/kichwa cha nyumba, mueleze mkeo kwamba hivyo anavyofanya si vizuri hata ingekuwa yeye sijui angejisikiaje. Na umwambie live wewe hupendi tabia hizo

Kama mmeshawahi kukaa na hg, rudi nyuma na kuangalia sababu zilizomfanya hg huyo aondoke hapo kwenu, ikiwa ni sababu ya ukali basi tumia hiyo hiyo kumuonya mkeo na umwambie tutabadilisha hg hadi lini? na akumbuke sababu kama hiyo ndiyo imemfanya aondoke hg wa kwanza. Kuwa baba, na ajue wazi wewe hupendi tabia hiyo
 
Nawasalim,

Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.

Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.

Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.

Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!

Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.

Ndugu najua unayopitia...sio wewe tu, nimekuja gundua wasichana hawapedani kabisa......mimi kuna mmoja alikujaga alikua anapika huyo...kudadadadeki, anapika balaa, kila mtu akija home lazima asifie msosi...... wife si akaanza zengwe....basi mimi mtu mzima nikajua tatizo ni nini..........basi nikaongea na mzungu mmoja tuko naye ofisini akamchukua sasa ivi anafanya kazia kwake......... na kuanzia siku hiyo, nikampa wife onyo, akiondoka housegirl kwa mizengwe isiyo na kichwa wala miguu basi yeye ndio atafanya kazi zote yumbani ,sitaki kujua atafanyaje kama atachukua likizo au vipi mi hainihusu mradi mambo yaende kama kawaida home.......kuanzia kupika,kufua mpaka usafi hamna mtu kumsaidia...na pia jukumu la kumtafuta dada mpya litakua ni lake.
Toka nitoe huo mkwara tumedumu na dada sasa angalau ni mwaka wa tatu unaenda wanne...ila mwanzo ilikua dada akikaa sana ni mwaka.
 
Kwa uzoefu wangu wa kuishi na hg zaidi ya 10, sijawahi kukaa na mke wangu kwa maswala kama hayo ili nisijeingizwa kwenye matatizo ambayo hayapo. Sanasana kama unaishi ushuani hakuna tatizo hata mbadilishe kila baada ya miezi 2. With time mke wako atashangaa mbona kila akimgombeza hg wewe uko kimya huchangii kitu, atajirekebisha tu na atakuuliza siku moja akiona mahg wanaondoka sana ndipo utakapomueleza. KAA kimya na usile kabisa hg maana wako tempting kweli na hasahasa unaponyimwa k.
Sikubaliani na wewe hata kidogo ndg. Kumbuka hg ni binadamu kama wewe, unavyomnyanyasa na unamuachia nyumba na ndiye mpishi wa chakula cha mwanao na wote kwa ujumla, lolote laweza kutokea! hukumbuki hg alitemuweka mtoto kwenye friji na hg aliyemuua mtoto akamuweka kwenye rambo? wamama wanaonyayasa hg wana hatari kubwa sana na huwezi jua huyo anawaza nini na inamuuma kiasi gani

Na kumbuka ametoka kijijini, hajui kitu anapaswa kuelekezwa kila kitu, na mama anapaswa kumvumilia sana binti anayetoka kijijini kwa kuwa anakuwa hajui vitu vingi, na kwa siku 3 au wiki moja hawezi kuwa anajua vitu vyote. Atakapo mfundisha anaweza kuwa mzuri kuliko kumgombeza kila wakati, anapomgombeza anamjengea hofu na ndio maana haelewi haraka, kila kitu anafanya kwa hofu ndio maana anakosea, siwafagilii kabisa wanawake wa jinsi hii kwa kuwa mimi ni mama na nimeshakaa na hg wa aina tofauti, mimi huwa sina haraka na hg, namuelekeza taratibu kama mwanangu na mwisho anakuwa mzuri sana tu
 
bahati yako hayo mabano....
maana nilitaka kuuliza kama hamna watoto hg wa nini?
hongereni na maandalizi mema.
kwa nini anamwamsha dada saa 11 wakati hakuna watoto?
kwani akiamka 12 na nusu hataweza kufanya usafi wa nyumba na kazi nyingine?
Ongea na mkeo, akianza hivi na hivi ni mama kijacho ajiandae kubadilisha hg kila mwezi, na sijui atawapata wapi na siku hizi walivyo mapepe!

Kabisa,na pia aongee na mkewe,inaonekana mkewe hajiamini,na kuna mtu amemwambia hivo ndio namna ya kum-treat housegirl,mweleze house girl naye ni binadamu anayehitaji kupendwa na kuthaminiwa,pia kama ni wasiwasi wake kwake je hamna wanawake wengine humu dunian zaid yake?mjengee kujiamin,trust me yote haya yatakwisha!
 
Na mimi nahisi hivyo!!
 
Back
Top Bottom