Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
bahati yako hayo mabano....Watoto bado, tunatarajia(mama kijacho)
maana nilitaka kuuliza kama hamna watoto hg wa nini?
hongereni na maandalizi mema.
kwa nini anamwamsha dada saa 11 wakati hakuna watoto?
kwani akiamka 12 na nusu hataweza kufanya usafi wa nyumba na kazi nyingine?
Ongea na mkeo, akianza hivi na hivi ni mama kijacho ajiandae kubadilisha hg kila mwezi, na sijui atawapata wapi na siku hizi walivyo mapepe!