Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Picha ya avatar yako na mada zinanichangaya kweli kweli
Ni conclusion yenye maneno makali kidogo, jamaa kasema ni mjamzito huenda mimba ina mchango hapo. Walikuwa wanaishi na mama mtu mzima, sijui kwanini walimtoa au ni matatizo ya huyo bidada?
Nawasalim,
Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.
Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.
Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.
Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!
Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.
Hapo nilipopigia mstari, ndiyo huwa ni feeling zangu siku zote. Yaani housegirl akishafika nyumbani kwangu huwa ni sehemu ya familia na anapewa privilages zote ambazo member wengine wa familia wanapata. Na huwa napenda kama ni kazi kila mmoja ndani ya nyumba afanye sawasawa na wenzake bila kujali ni housegirl au ni ndugu au mtoto.Ukimaliza kujibu maswali ya FP na HorsePower nami nitaweza kuchangia vizuri.
Ila kwa sasa labda nikusaidie hapo kwenye kuondoa viombo.
Sidhani kama mnafanya vyema kwani hiyo inampasa hata mkeo kuondoa viombo mmalizapo kula sio mpaka House Girl aache kulala eti anasubiria mmalize kula aondoe viombo.
Hebu jaribuni kumfanya kama mwanenu, msimchukulie kama mtu baki, muonyesheni upendo na kumthamini.
Sio kitu kidogo tu, mnagomba wakati ni maswala ya kuelezana taratibu.
Leo ukirudi home mkiwa chumbani kwenu mwambie mkeo hivi,Mke mama Kijacho na kuwa na msaidizi wa kazi si jambo baya au kuonesha uvivu. Kinachonikwaza mimi ni namna mke wangu anavyomtreat huyu dada,,,,,,,
Kama hamna mtoto msichana ni wanini?mke wako ni mvivu anamwachia msichana majukumu yake km mke ndo maana anamtreat vibaya akihofia kuchukuliwa nafas yake.we ukimtetea uyo mdada mkeo anajifeel unsecure na ndo atazdi kumchukia muondoe uyo msichana nyumba itakua na aman
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii! mwambie asifanye hivyo, ni vibaya huyo pia ni mtoto akifika kwao, asimfanye akaja akatesa huyo mtoto, mwambie anamtengenezea chuki ambayo atakuja ilipizia kwa mtoto.Duh kanitumia message sasa hivi kuwa dada kavunja glass kadhaa!!!!! Amemwambia atamkata kwenye mshahara!! Dah narudi tena home kukiwa na drama,,,,,,,,,,,,,
Chum Chang hiyo avatar nimeiweka tu sababu ilinipendeza. Niliiona mtandaoni! Nitafurahi kama ukichangia kunipa ushauri ya haya yanayonisibuPicha ya avatar yako na mada zinanichangaya kweli kweli
Duh kanitumia message sasa hivi kuwa dada kavunja glass kadhaa!!!!! Amemwambia atamkata kwenye mshahara!! Dah narudi tena home kukiwa na drama,,,,,,,,,,,,,
Dawa ni kumtarasua huyo house girl mambo yake sawa............................!:tape2:
Jaribu kuedit avatar yako, nadhani ni vyema kama ni me ukatumia avatar ya me n.k. - Haya mawazo yangu ya kianalojia tu.. Mke wangu..
Mkuu Tigga Mumba,chukua hatua stahiki haraka. Zungumza kama baba wa familia.Ukichelewa,huyo dada naye ataonesha 'ubinaadamu' wake kwa kufanya kisichotarajiwa. Hii ni kwasababu yeye kama binaadamu ameumbwa na hasira,chuki na visasi.Itafikia wakati,atalipa kisasi cha hata kumdhuru mmoja wenu au wote au mali. Wafanyakazi wa ndani wengi hufanya yasiyovutia baada ya kunyanyaswa na kuteswa kama hivyo.Take care!Nawasalim,
Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.
Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.
Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.
Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!
Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.
am sorry Kaunga ila mimba sio sababu, blv me kuna wanawake wana jeuri sana kama wanakipato na wana ndoa.
nimeshuhudia wengi sana wa aina hii ndio mana nikamwambia ni limbukeni tu. but anisamehe sana kwa maneno yangu.
sjui ni hasira za da sophy yaani ata sijielewi.
Achana naye bishosti....sjui ni hasira za da sophy yaani ata sijielewi.