CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
kaja kumsema JF wakati wanakaa mtaa mmoja angemwambia mda ule ule
tena kabla hawajaenda kulalana........wameshalalana ndio anakuja kuanzisha thread
Heaven, wengine humu wanaweka kuona watu watajibu nini, sio ukweli. Post nyingi za MMU huwa (nadhani, nasema nadhani) huwa ni mastory. mtu amechoka anatafuta wapi pa kupotezea muda na mastory kibao!!!!!!!!!!!
Kwahiyo huyo mmoja ndo umekonkludi wake zetu wote wana tabia hiyo.
snowhite unaitwa huku. Afu bahati nzuri dogo ana garry lake atakupamo lift. Bila hii thread tungejuaje ana garrri?
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.
vitoto vinavyoropoka ropoka maneno ya aina hii unajua dawa yake?
subiri niku:cell:
watu wengine wana akili kiduuuchu! wewe unamsema huyo mwanamke weweje? kukutana naye hiyo siku tayari guest? huoni jinsi ulivyo cheap?
vitoto vinavyoropoka ropoka maneno ya aina hii unajua dawa yake?
subiri niku:cell:
Unamaanisha ulipompa lift alikushikia mtutu ukapaki guest?
Hili neno la kulalana la zamani kweli kweli...
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.
Nimezisoma post,lakini hamjanielewa dhana yangu,ukweli nilimheshimu huyo bi dada kwa muonekano wake,na jinsi jamaa anavyoshughulikia nyumbani kwake,Baada ya kuingia ndani ya gari,tukasalimiana (Salamu ya bashashi kubwa kutoka kwake) mara akaanza unajua mzee kasafiri nipo peke yangu,mara shem unapataga wapi kinywaji,kweli ibilisi ni mkubwa bia mbili tu mtoto macho amelegea utafikiri katiwa nini,ananishikashika hovyo.Nilicholearn kama nilivyoongea kwenye mada yeye anahisi mume wake akisafiri,kamwe haiwezekani lazima atatembea na wanawake huko,hivyo naye lazima ajiachie kuupa faraja moyo wake.KIKUBWA SUALA LA UAMINIFU KTK LIMEKUWA TATIZO KUBWA KTK NDOA NYINGI SIKU HIZI.Ndoa zimekuwa full usanii.
Unamaanisha ulipompa lift alikushikia mtutu ukapaki guest?