Issue kama hii siyo ya kibingwa, unatakiwa unaweka tittle kama hivii
NYUMBA ZA KUPANGA: NILIVYOFANYA UPUMBAVU NA MPENZI WA MPANGAJI MWENZANGU.
Halafu unaelezea milio yao ilikufanya usononeke na kufadhaika kwa sababu una changamoto ambazo zinafanya usikutane na mwanamke hata mwaka mzima( lakini nyeto unapiga, kama haupigi na unakaa mwaka una katatizo. Sababu kwa ulichofanya umejivunia na unaonyesha hata ssio mtu safi kimahusiano na Mungu).
Kingine ungeelezea kuwa ulizidiwa ukajikuta umetuma meseji kuomba show wakati wanaendelea na zoezi lao.
*** uliandika kuwa ni mke wa mtu baadae ukaandika sio.
YANI UMEFANYA ISSUE INAYOONYESHA HAUJAPEVUKA KIAKILI NA VITENDO......HALAFU UNAKOSEA ZAIDI UNAPOANDIKA KAMA VILE NI JAMBO LA KUJIVUNIA