Wake za Magufuli na Lowassa

Wake za Magufuli na Lowassa

Nakupa pole yafuataye kwa lowasa kuwa rais ni ndoto,pigeni kelele mnavyoweza,
1,mugogoro na vyombo vya dora
2,mwaka huu mitandao ya majizi haipewi nchi,ilimsaidia kikwete kwenda ikulu tumeona matunda yake na sasa baada ya hiyo mitandao kukosa nafasi imegeuka upande wa pili mitandao hilehile unataka kwenda ikulu,
Nawapa pole sana ikishindikana wengi kufanya mahamuzi,wachache wenye akili watafanya mahamuzi,

Tena tutafanya maamuzi sahihi kabisa. Hatuwezi kuruhusu nchi yetu nzuri namna hii ikachukuliwa na majizi, hapana, tutahakikisha MAGUFULI anaingia Ikulu.
 
Usichokifaham ni kuwa ufirst lady ni kazi ni cheo na unalipwa mshahara km kawaida na km Magufuli atashinda basi Mama Janet atalazimika kuacha ualimu na kuungana na mumewe kwnye kazi ya kuliongoza Taifa.
 
Familia ya mafisadi inataka kwenda ikulu ndo kazi anayoifanya make wa lowasa na lowasa mwenyewe,lkn naamini wenye akili watalisaidia taifa,

Kwani hujui walioko ikulu pia ni mafisadi au unajitoa ufahamu! na ufisadi chuo chake kipo ccm kwa taarifa yako!
 
Hahaha hajui kua chuo cha mafiaadi ni ccm👍👍👍
 
South Africa wasitutishe na ZUMA wao. Jacob, Tanzania here we come..... Kuvunja rekodi yako. Push Up zake sasa 🙂

1150511_957901.jpg
MIZIGO YA ZUMA, Damn!!

Magufuli hazunguki na mkewe kwa kuwa ana wake wengi
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Ungesikia kuwa Magufuli anaambatana na mamako kwenye kampeni ungejisikiaje? Kikwete alivyokuwa anaambatana na familia yake kwenye kampeni ulikuwa wapi? Ulisikia kauli ya Kikwete kuhusu kupigiwa kampeni na familia yake? Mwacheni mama Regina apige kampeni maana anaweza!
 
Siku hizi mama yako n regina?
 
Hivi mtu anatumia macomment kibao kujaribu kutetea na kushawishi uongo watu wazima inahusu? Wenye macho tunaona kwahiyo usitake kutuaminisha tope lako kichwani. Utapiga kelele kuficha lakini ukweli unabaki palepale, mtu nyumbani tu kachemka, sembuse..

Vipi yule aliyeshindwa kwenda chooni akamalizia kwenye sarawili anafaa kuwa president?
 
Magufuli ana michepuko kibao mingine aliigawia Nyumba za Serikali pia kila anapolala kwenye kampeni yupo na mchepuko mapya,

Wewe ni mchepuko wa wangapi wa Magufuli?
 
Vipi yule aliyeshindwa kwenda chooni akamalizia kwenye sarawili anafaa kuwa president?

Ni aibu asee
hafai

Tukio hilo ndo limemfanya kila akishuka anakimbilia choon yasije kujirudia ya chato
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Kama unakosa mapenzi na mkeo huwezi kuwa na mapenzi na mkeo
 
Back
Top Bottom