Wake za Magufuli na Lowassa

Wake za Magufuli na Lowassa

Ni kumziaki mungu shetani kumfananisha na malaika saga na magufuli kulinganisha na lowasa,kwanini,
Lowasa amefanya mambo mengi ya ki shetani ktk taifa hili,

1,fisadi LA tangu enzi za baba wa taifa bila bigwa LA kuiba,.
2,kuwapa watu sumu wapinzani wake wa kisiasa kama mwakyembe,
3,kuwahujumu wapinzani wake mfano 2010 olesendeka,
4,udini,
5,visasi,he akiwa na Dora,
6,vipandikizi kwenye vyombo vya Dora,
7,uwezo wake wa akili ni dhaifu,

Hivi duniani kuna nchi unaweza kumpa MTU kuwa rais akiwa na uchafu wote hii?
Watu wamelogwa au miujiza ya gwajima na ufreemason ndo unawachanganya watu akili,

Nyie mna akili za ngombe. Sasa km alifanya yote hayo na mlukuwepo madarakani mlimfanya nn.
Mnaonesha jinsi msivyostahili kupewa hata kitongoji muongoze.
Hiki chama kimeoza na kimebaki na akili mfu. Eri rais wa nchi anatishia kumtaja mmiliki richmond km wananchi wasipomtaja. Hata mbwa hana tabia km hizo
 
Hii kauli angeitoa mwenyekiti wako wa chama ndo ninguelewa!
Hapa ni mabadiriko tu. Ni aibu chama kilichoko madarakani kukosa sera na kuishia kwenye matusi

Kweli KUELEWA ni kipawa unachopewa na mungu,lowasa anasera gani ,uwezo wakutaja vipaombele vyake vitanokutoka kichwani hawezi akili yake imeoza kwa masindano ya ganzi?miaka 10 bungeni bubu na hotuba zake kwenye websiteanajua nini? Kama anajua Sera subili midahalo mlete uhozo wenu huo,dakika 10 kwenye jukwaa ndo mtajua nini maana ya rais,
 
Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

salma.jpg

Salma Kikwete, 26/09/2010
 
Nyie mna akili za ngombe. Sasa km alifanya yote hayo na mlukuwepo madarakani mlimfanya nn.
Mnaonesha jinsi msivyostahili kupewa hata kitongoji muongoze.
Hiki chama kimeoza na kimebaki na akili mfu. Eri rais wa nchi anatishia kumtaja mmiliki richmond km wananchi wasipomtaja. Hata mbwa hana tabia km hizo

Na nyie mliomtagaza dunia nzima kuwa ni jizi ,fisadi,
1,kwenye list if shame,
2_fisadi papa,
Chini ya viongozi wenu, slaa,mbowe,mnyika,lissu,lema, alikuwa mume hang any ikiwa au na badara yake kulamba matapishi yenu,au akili iliwaruka,au pengine haya hauyajui?
 
Nani anakwambia ikulu mwaka huu ataingia jizi na fisadi? Ni ndoto za mchana kufikiri ikulu itakabiziwa kwa jizi kisa eti tamaa ya urais,

Kanone.tuambie wizi wa lowassa kwa mapana na marefu.na wema wa magufuli kwa mapana na marefu
 
Tunachagua Rais wa Nchi na si familia kuwa marais!!!

Nyani haoni matako yake kabisa! JK alichoifanyia TZ hatokaa asamehewe! CCM yenyewe kaifanya ya familia yake, na bado wewe mla makombo huoni lolote! Kama hujui unachokosa huna haja ya mabadiliko! Sisi tunajua tunachokosa.
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Ukweli n mchungu kumeza
Lakin
East or weast
Magufuli is best

Viva magufuli viva
 
nakupa pole yafuataye kwa lowasa kuwa rais ni ndoto,pigeni kelele mnavyoweza,
1,mugogoro na vyombo vya dora
2,mwaka huu mitandao ya majizi haipewi nchi,ilimsaidia kikwete kwenda ikulu tumeona matunda yake na sasa baada ya hiyo mitandao kukosa nafasi imegeuka upande wa pili mitandao hilehile unataka kwenda ikulu,
nawapa pole sana ikishindikana wengi kufanya mahamuzi,wachache wenye akili watafanya mahamuzi,

kanone how old are you?did you completed std vii?
 
Huyu ndiye Lowassa - Rais anayesubiriwa kuapishwa.

Lowassa ni kada mkongwe anazijua fika siasa za Tanzania, Afrika na Dunia nzima
Lowasa hatumii wasanii kuvuta watu kwenye mikutano yake
Lowassa hatummi lugha za matusi kwenye kampeni zake
Lowassa hata kama akitukamwa na kukejeliwa yeye ni moto chini na watu ni nyomi kwenye mikutano yake
Lowassa anakubalika kwenye makundi yote, kinamama, vijana na vikongwe
Lowassa bado anakubalika ndani ya chama cha CCM - kuna wanachama watampigia kura
Lowassa na mtaji wa kura za wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF,NCCR na NLD kunogesha ushindi
Lowassa ni mvumilivu wa kisiasa, hakurupuki na hana muda kujadili majungu.
Lowassa ni mgombea pekee mwenye uhakika wa kupata kura toka kwa vyama vikubwa 5 - iliwemo CCM yenyewe.

images

Kinyago tumekitengeneza wenyewe
Na tunakiharibu wenyewe

lowasa n kinyago wetu
na tunamharibu wenyewe

Magufuli njia nyeupe kuelekea ikulu
Hata lowasa ajinyee vipi hatutamhurumia
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Kwa taarifa yako tunafahamu sana kwamba miss understandings kati ya makomeo na wife wake. Hayo maneno katafute wa kuwa eleza.
 
Mwaka 2005 Kikwete alizunguka na mkewe. Mbona hamkusema abaki shuleni atimize majukumu ya kitaifa? Wadanganye watoto wadogo

Acha viroba
Tumia mbege

yaaan mambo ya 2005 unatuletea hapa
Afu ushasema huyo n kikwete
ss tunazungumzia magufuli

Umetusikia ss tumemsema mgombea wa chadema wa 2005 urais hapa?

Nitaendelea kulia na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi imeua nguvu kazi ya vijana
They cannot think properly
 
Kanone.tuambie wizi wa lowassa kwa mapana na marefu.na wema wa magufuli kwa mapana na marefu

Kabla ya Mimi kumwambia na nukuu kauri za viongozi wako tangu 2010 huu ya wizi na ufisadi wa lowasa na nikiwepo sio swaga,
1,list of shame,by slaa,mbowe. Mnyika tundu lisu mwembeyanga SAA 9 mchana,(sijui kama unajua hii)
2,fisadi richmond (bungeni)2010 kampain za uchaguzi,slaa,mnyika,mbowe,
3,wizi wa pesa za ujenzi wa nyumba ya mbunge monduli akiwa wazr mkuu,mbowe,tundu lissu msigwa arumeru kwa nasari,
Kwanzanaishia hapo nukuu za viongozi wako,
Mengine
Kuwapa watu sumu wapinzani wake wa kisiasa,kama hawajui nikutajie,
He hana ndo akiwa na Dora kwa umafya huu?
 
Mkuu Mapirobe hii ni thread ya ngapi umeanzisha Leo? Mbona zote ni pumba tupu? Hivi huwa hamuoni aibu kujivua upeo namna hii?

Kuna sheria inayozuia hilo?

Nalia tena na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi
Hapa tanzania
Imeua uwezo wa watu wa kufikiri
Badala ya kutafakari ujumbe uliopo
Lenyewe linahesabu threads
 
Last edited by a moderator:
Acha viroba
Tumia mbege

yaaan mambo ya 2005 unatuletea hapa
Afu ushasema huyo n kikwete
ss tunazungumzia magufuli

Umetusikia ss tumemsema mgombea wa chadema wa 2005 urais hapa?

Nitaendelea kulia na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi imeua nguvu kazi ya vijana
They cannot think properly

Achana na ujinga akili zake zinaumwa kama za kwa masindano ya ganzi ,kikwete 2005 hakuzunguka na make wake alianza kuzunguka nae 2010 maana muda huo tayari ni mnikulu,
 
Kuna sheria inayozuia hilo?

Nalia tena na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi
Hapa tanzania
Imeua uwezo wa watu wa kufikiri
Badala ya kutafakari ujumbe uliopo
Lenyewe linahesabu threads

Mkuu achana na manyumbu ambao yamekuwa madodoki baada ya kuuzwa kwa fisadi moja wslilolitangaza kuwa ni fisadi na dunia ikajua,wao mbona wameajiriwa humu na shetani ni fisadi by lema na kuwa madodoki humu adi usiku SAA sita,
 
Unafikiriia matope, urais sio wa familia kila mtu anamajukumu yake kwa jamii

Kama unadhani cheo cha Urais hakina uhusiano na mke wa rais, basi kusingelikuwa na cheo cha firstlady na wala tusingelikuwa na katiba inayotaka mgombea urais awe na ndoa...
 
Kwa taarifa yako tunafahamu sana kwamba miss understandings kati ya makomeo na wife wake. Hayo maneno katafute wa kuwa eleza.

Zinakuhusu nini mbona haujaleta kero za lowasa na Regina chini ya melinagu,pia na baada ya kiarusi kuvunga kila kitu chini,na mkewe kuishi kama,,,
 
Back
Top Bottom