Wake za Magufuli na Lowassa

Wake za Magufuli na Lowassa

Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Huyu ndo kura yangu mimi na familia yangu ya watu 12
 
Huyu ndiye Lowassa - Rais anayesubiriwa kuapishwa.

Lowassa ni kada mkongwe anazijua fika siasa za Tanzania, Afrika na Dunia nzima
Lowasa hatumii wasanii kuvuta watu kwenye mikutano yake
Lowassa hatummi lugha za matusi kwenye kampeni zake
Lowassa hata kama akitukamwa na kukejeliwa yeye ni moto chini na watu ni nyomi kwenye mikutano yake
Lowassa anakubalika kwenye makundi yote, kinamama, vijana na vikongwe
Lowassa bado anakubalika ndani ya chama cha CCM - kuna wanachama watampigia kura
Lowassa na mtaji wa kura za wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF,NCCR na NLD kunogesha ushindi
Lowassa ni mvumilivu wa kisiasa, hakurupuki na hana muda kujadili majungu.
Lowassa ni mgombea pekee mwenye uhakika wa kupata kura toka kwa vyama vikubwa 5 - iliwemo CCM yenyewe.

images

Tutamchagua rais Magufuri muadilifu
 
Nani anakwambia ikulu mwaka huu ataingia jizi na fisadi? Ni ndoto za mchana kufikiri ikulu itakabiziwa kwa jizi kisa eti tamaa ya urais,

Wewe ni jambazi ila hujijui tu
Utalialia sana
 
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.

Huyu ndo kura yangu
 
Mke wa magufuli alitelekezwa kitambo tu na mumewe, akawa na nyumba ndogo, hivyo kakataa kurejea coz mapombe kamtelekeza hivyo hawez kujoin leo kisa urais
 
Kama unakosa mapenzi na mkeo huwezi kuwa na mapenzi na mkeo

Nyie mmemuelewa huyu?
Magufuli akiapishwa tu nnamshauri apandishe bei ya viroba 45,000/=kiroba kimoja
Ukihudumiwa na glass 50,000/=
Barmaid kukumiminia kwenye glass 60,000

Ili tuweze kunusuru taifa
 
Elimu, elimu, elimu
unqjua maana ya uadilifu wewe?
Uadilifu n kupiga push up majukwaan? uadilifu ni kutukana majukwaan? uadilifu ccm? mhhhhh!!!

Kwahio uadilifu ni kujinyea huko geita?
 
Back
Top Bottom