Wake za Magufuli na Lowassa

Wake za Magufuli na Lowassa

Ni kumziaki mungu shetani kumfananisha na malaika saga na magufuli kulinganisha na lowasa,kwanini,
Lowasa amefanya mambo mengi ya ki shetani ktk taifa hili,

1,fisadi LA tangu enzi za baba wa taifa bila bigwa LA kuiba,.
2,kuwapa watu sumu wapinzani wake wa kisiasa kama mwakyembe,
3,kuwahujumu wapinzani wake mfano 2010 olesendeka,
4,udini,
5,visasi,he akiwa na Dora,
6,vipandikizi kwenye vyombo vya Dora,
7,uwezo wake wa akili ni dhaifu,

Hivi duniani kuna nchi unaweza kumpa MTU kuwa rais akiwa na uchafu wote hii?
Watu wamelogwa au miujiza ya gwajima na ufreemason ndo unawachanganya watu akili,
 
Mkuu Mapirobe hii ni thread ya ngapi umeanzisha Leo? Mbona zote ni pumba tupu? Hivi huwa hamuoni aibu kujivua upeo namna hii?
 
Last edited by a moderator:
Wewe muulize mke wake akupe siri jamaa anayomfanyia ndani alafu ndo uje utage hapa.
 
MAGUFULI NA LOWASA:

Magufuli aliwambia wanainchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Rejina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio rais wa Tanzania.

Familia ya mafisadi inataka kwenda ikulu ndo kazi anayoifanya make wa lowasa na lowasa mwenyewe,lkn naamini wenye akili watalisaidia taifa,
 
Wewe muulize mke wake akupe siri jamaa anayomfanyia ndani alafu ndo uje utage hapa.

Make wa lowasa Yale mambo ya kiume alishayasau maana kiarusi kiliondoka na kila kitu,mke kama huyu ni hatari maana inawezekana ikaja kuwa aibu ya taifa na wafanyakazi wa ikulu,
 
Pumbaudaku.com ... Juliana Shonza atafurahia sana ujinga huu .... pelekeni Lumumba ...Janet kanuna toka Kimada alipopewa Nyumba za Serikali ....
MAGUFULI NA LOWASA:

Magufuli aliwambia wanainchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.

Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.

Acheni Rejina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio rais wa Tanzania.
 
Maccm mbona hamjibu hoja ya Kikwete na familia yake kuzunguuka nchi mzima kuomba urais?
 
Hapa kazi yeye mwenyewe anajitoshereza,akili bomba,afya bomba,lazima tukupe nchi kwa garama yoyote ili ukayafunge mafisadi,
 
Magufuli mke wake kamuacha nyumbani,nyege zikimpanda anaanza kupiga push ups jukwaani.Halafu wale wanaokata viuno majukwaani wapo salama kweli? Namfananisha Magu na mwanaume asiyependa kuambatana na mkewe kwenye mitoko kisa kuna small house
 
Lowasa ANAITAJI msaada maana hata kwenye mkutano wa wakina mama wa chadema dar alusahau jina make wake,ni hatari kwa taifa hili kuwa na rais ambaye kumbukumbu zake zimeoza kwa masindano ya ganzi,
 
Kichwa cha habari kingekuwa hivi: Magufuli na Familia kwani Lowassa si sehemu ya familia ya Magufuli na Lowassa hujamuongelea kwa lolote
 
Magufuli mke wake kamuacha nyumbani,nyege zikimpanda anaanza kupiga push ups jukwaani.Halafu wale wanaokata viuno majukwaani wapo salama kweli? Namfananisha Magu na mwanaume asiyependa kuambatana na mkewe kwenye mitoko kisa kuna small house

Lowasa kwani make wake anamsaidia nini wakati kiarusi kimeishamaliza kila kitu,akiwa rais vijana wa ikulu watashangilia maana kazi kwao mzee ndo hivyo tena,
 
Unafikiriia matope, urais sio wa familia kila mtu anamajukumu yake kwa jamii

Hii kauli angeitoa mwenyekiti wako wa chama ndo ninguelewa!
Hapa ni mabadiriko tu. Ni aibu chama kilichoko madarakani kukosa sera na kuishia kwenye matusi
 
Na mtachonga sana mwaka huu hata awe Freemason hata awe jini hata awe mchawi kura zetu anazo lazima zimtoshe kaeni na hilo dalali lenu#vivaLowassa.

Na Mimi nakupa pole akipewa nchi fisadi mwaka huu unikate kichwa,hiyo ichukue kuanzia Leo,na tutafutane kuanzia 28oct,
 
Lowasa ANAITAJI msaada maana hata kwenye mkutano wa wakina mama wa chadema dar alusahau jina make wake,ni hatari kwa taifa hili kuwa na rais ambaye kumbukumbu zake zimeoza kwa masindano ya ganzi,

Hahaaaa.....lowasa noma. Alitaja jinangani mkuu? Kuwait au iraq?
 
Na Mimi nakupa pole akipewa nchi fisadi mwaka huu unikate kichwa,hiyo ichukue kuanzia Leo,na tutafutane kuanzia 28oct,

Namimi nakuhaidi makofuli ashinde natembea kama nilivyozaliwa kuanzia hapa hadi Posta mpya.
 
5.JPG
 
Back
Top Bottom