Labda mke wa kwanza. Lakini wa pili na kuendelea hadi wa nne, tunawezaje kusema hawafurahii huku wameingia weneyewe kwenye ndoa ambazo walijua wazi kuwa tayari kuna mke mwingine/wake wengine?...Na hakuna mwanamke hata mmoja ambaye huwa anafurahia ukewenza.
Bora muwe kama mimi!
Single and without stress. Later utakuja kujiuliza tuko wangapi na by
that time it will be too late. So to conclude ni bora basi kama huwezi
kujizuia kuwaka tamaa, oa au olewa na mmoja tu. Acheni mapenzi ya
rejareja.
ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!
kwa imani yako unavyoamini weye kuna ndoa ya aina moja tu! mume mmoja .. mke mmoja..?! well hayo ni mawazo yako brother/ sis ....... ni haki yako kikatiba
but news flash bro!/sis out there dunia usioyoifahamu weye .. kuna ndoa za aina nyingi mno!...
Ndoa ni mume mmoja mke mmoja zaidi ya hapo ni uzinzi tuSo kwa maoni yako hakuna tofauti ya uzinzi na ndoa...
Kwani wakati wa kuumba Mungu aliumba mwanaume mmoja na wanawake wengi? au aliumba mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu? Hili liko wazi wala halihitaji akili ya ziada kulijua, na Mungu aliona wanatoshelezana 1 kwa 1 na si zaidi ya hapo. Vinginevyo ukienda zaidi ya hapo wewe sasa unakuwa nje kabisa ya mpango wa MUNGU na huo unaitwa uzinzi na uasherati tu.
kwa imani yako unavyoamini weye kuna ndoa ya aina moja tu! mume mmoja .. mke mmoja..?! well hayo ni mawazo yako brother/ sis ....... ni haki yako kikatiba
but news flash bro!/sis out there dunia usioyoifahamu weye .. kuna ndoa za aina nyingi mno!...
Hapa tuna diskasheni gani?
Wengi kina nani?.......utamu wa kumiliki wengi............
Hasara wanazopata wenye wake wengi kama wewe.Hapa tuna diskasheni gani?
hapa ndio upumbavu unapojidhihirisha kwa kweliUnaweza kula chakula cha aina moja siku zote? Si kitakukinaisha!!!
Ndoa ni mume mmoja mke mmoja zaidi ya hapo ni uzinzi tu
Kwani wakati wa kuumba Mungu aliumba mwanaume mmoja na wanawake wengi? au aliumba mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu? Hili liko wazi wala halihitaji akili ya ziada kulijua, na Mungu aliona wanatoshelezana 1 kwa 1 na si zaidi ya hapo. Vinginevyo ukienda zaidi ya hapo wewe sasa unakuwa nje kabisa ya mpango wa MUNGU na huo unaitwa uzinzi na uasherati tu.
facts will always remain to be facts...Mungu hakuwa mjinga kuumba jinsia mbili na kuziweka pamoja siku ulimwengu ulipokamilika kuumbwa...ushawahi jiuliza hilo?
sijawahi kujiuliza kwamba mungu ni mjinga ama la!.. naamini mungu yupo 100% right... kuhusu uumbaji wa ulimwengu hapo tutatofautiana.... nadhani mwenzangu we wa imani nyengine na mimi muislam na isitoshe kitabu chetu tukufu kimeturuhusu mpaka wa nne kama ukiwa na uwezo ili kendeleza family ...! Ndoa ni zaidi ya ngono..!
Rule # 1 ya wake wengi.....wasikae karibu karibu!