kwa nn wanawake wengi walio olewa na matajiri huwa hawatulii kwenye ndoa??pia hupendelea serengeti boys??
nakaribisha hoja..
nadhani mada yako ipo kinyume sisi wanaume matajiri ndio huwa hatutulii kwenye ndoa...
mkuu hili ni tangazo
Nifanyie msaada kulilipia basi...
lipia mwenyewe maana faida utapata wewe
wewe si ndio umeiona post hiyo kuwa ni tangazo...!!!
ndio maana nikakwambia
kwa nn wanawake wengi walio olewa na matajiri huwa hawatulii kwenye ndoa??pia hupendelea serengeti boys??
nakaribisha hoja..