Lmao! Kibuki!? Yaani tayari ndandamaro yupo kichwani... au makata!? JF are very funny lol!hasara loo mtu mzima kuvamia mambo ya udaku na kuanza kulaumu kwanza fuatilia upashwe na ndio unene sio upayukwe utadhani umepandwa na kibuki
pole mradi
Na wale wapemba wanaouza samaki wabichi katika viyuo vya mabasi Dar nao watimuliwe?Wana ndugu hili jambo nafikiri inatukumbusha ule uzama wa ufalme hivi sasa kila sehemu ya zanzibar utokosa jina la karume mwishoni...sasa naona na hawa walio uongozini wameamua kula kivyao....pale forodhan tulipokuwa tukiingia na kutafuta samaki wa pweza ukiwa na mkeo...leo hii kumefungwa wanaakarabati na habari za uhakika ni kwamba mke wa RAIS wa ZANZIBAR mama shadya karume katunukiwa kipande ile...kwa hiyo wale ndeugu zzetu waliotoka bara kuja zanzibar kuuza pweza ni wakati wa kurudi kwao mbagala kuangalia kama wnaweza pata mafao ya nyumba zao walizokimbia.....sioni mantiki ya kugawa hizi nchi kwa kisingizio cha me wa rais...jamani mama mkapa bado kidogo atuache UC*** WA MNYAMA KILA SEHEMU YAKE MPAKA MAJUZI KAJIFANYA KUMUUZIA MTU LILE HOTEL LAKE KUBADILI NA JINA KUMBE FIX...MAMA SALMA NAE ALTHOUGH AJATOKA RASMI NATUMAINI NNDANI YA MIAKA 5 NA WAMA YAKE LAZIMA WAMTAMBUE...HAYA WA MADHABAHUNI ALI MADHABAHUNI
Uhuru wa kutoa maoni zanzibar upo, ila fursa za kutoa maoni hayo ndo zimepindapinda, na hata ukipata hiyo nafasi ya kutoa maoni yako kwa uwazi basi ujuwe una 'beep' condemnations na kutengwa na kama utakuwa kero saaaana utaletewa frustrations hizo mpaka utafunga domo lako, kitu kizuri sku hizi zanzibar yale mambo ya kuchezeachezea SMZ halafu ukapelekwa kwa "bamkwe" au "kuchunga n'gombe" hayapo au yamepungua au yanafanywa kwa siri, mpka siku za uchaguzi.Nani aliyesimama mbele ya umma, hata kufanya press conference na kulalamika? Au Tanzania... sorry, I mean Zanzibar... hakuna uhuru wa maoni, kuongea, kulalamika?
Toa ushahidi unaoonyesha kwamba hilo eneo amepewa huyo mama hatutaki habari za mitaaniNini Mama Shadya,
Hebu tazama ww Rais Karume ndo mwenye dhamana ya ardhi yooote ya visiwani, Waziri anaehuska na ardhi ni Mansoour Yussuf Himid ni shemeji yake Karume,mama Shadya ankuwa kaka yake.
Kwahiyo hapa ww unategemea nn?
....pale forodhan tulipokuwa tukiingia na kutafuta samaki wa pweza ukiwa na mkeo...leo hii kumefungwa
Mwenye macho haambiwi tazama.Toa ushahidi unaoonyesha kwamba hilo eneo amepewa huyo mama hatutaki habari za mitaani
Uhuru wa kutoa maoni zanzibar upo, ila fursa za kutoa maoni hayo ndo zimepindapinda, na hata ukipata hiyo nafasi ya kutoa maoni yako kwa uwazi basi ujuwe una 'beep' condemnations na kutengwa na kama utakuwa kero saaaana utaletewa frustrations hizo mpaka utafunga domo lako, kitu kizuri sku hizi zanzibar yale mambo ya kuchezeachezea SMZ halafu ukapelekwa kwa "bamkwe" au "kuchunga n'gombe" hayapo au yamepungua au yanafanywa kwa siri, mpka siku za uchaguzi.
We ukitaka raha zanzibar wapigie makofi viongozi hata wakiongea upumbavu, au washabikie hata kama hawana wafuasi.
Enhe!! Junius lete vitu. Lakini ujue tu uhuru wa kutoa maoni unaambatana na kusema ukweli. Unapojikita katika kusambaza uzushi unaukejeli hata huo uhuru wako wa kutoa maoni. Nafurahi kuwa ww bado hujaanza kusema uzushi kama wale wengine.Uhuru wa kutoa maoni zanzibar upo, ila fursa za kutoa maoni hayo ndo zimepindapinda, na hata ukipata hiyo nafasi ya kutoa maoni yako kwa uwazi basi ujuwe una 'beep' condemnations na kutengwa na kama utakuwa kero saaaana utaletewa frustrations hizo mpaka utafunga domo lako, kitu kizuri sku hizi zanzibar yale mambo ya kuchezeachezea SMZ halafu ukapelekwa kwa "bamkwe" au "kuchunga n'gombe" hayapo au yamepungua au yanafanywa kwa siri, mpka siku za uchaguzi.
We ukitaka raha zanzibar wapigie makofi viongozi hata wakiongea upumbavu, au washabikie hata kama hawana wafuasi.
Mi nachoka sana Miafrika sijui lini tutaelimika mtu mke wa rais hata akistaafu malimbikizo atakayo pata kwenye ustaafu yanatosha yeye kula mpaka anakufa sasa hizi tamaa za nini jamani kama sio UJINGA tu unajilimbikizia mali kana kwamba utazikwa nazo. Siku zenu zinahesabika tu.