Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

Is Armageddon beer (61% alcohol) already in the market in Tanzania?
Seems like somebody already tested it for the Xmas!
 
Nchi yetu ilipofika inahitaji raisi jasiri, mwenye msimamo, asiye yumbishwa na wana siasa, wafadhili na wafanya biashara kwenye mambo yenye maslahi mapana kwa taifa.

Pia tunahitaji raisi mwenye uwezo binafsi wa kuchambua na kufanya maamuzi based on logical thinking. MTU ambaye atakaye jiamini na mwenye kua tiari kushindanisha mawazo tofauti kisayansi/kisomi na kamwe si kisiasa.

Pia awe MTU mwenye udikteta kiasi angalau kias cha Ben mkapa.

Mpaka sasa Prof Muhongo amedhihirisha kua na sifa hizi kwa kias kikubwa.I know this may seem to be an awkward opinion, but this is a hard truth.

Nashauli vyombo vyetu vya kiusalama vichukue ushauli huu kwani naamini the first and last vetting of a coming president is done by them(TISS).

Nawakilisha
Hata vichaa wana confidence za kutosha; haikosi hata rais kichaa atatufaa, at least hatakuwa na akili ya kufikiria kutufilisi kwa marumbesa na sandarusi
 
....naunga mkono hoja muhongo anafaa kuwa raisi Wa mafisadi, ila raisi wa taifa tayari Dr. Slaa atosha...
 
Huyo ni waziri mkuu mtarajiwa, next year atagombea ubunge ili apewe hiyo nafasi, yabebe haya maneno
 
Nchi yetu ilipofika inahitaji raisi jasiri, mwenye msimamo, asiye yumbishwa na wana siasa, wafadhili na wafanya biashara kwenye mambo yenye maslahi mapana kwa taifa.

Pia tunahitaji raisi mwenye uwezo binafsi wa kuchambua na kufanya maamuzi based on logical thinking. MTU ambaye atakaye jiamini na mwenye kua tiari kushindanisha mawazo tofauti kisayansi/kisomi na kamwe si kisiasa.

Pia awe MTU mwenye udikteta kiasi angalau kias cha Ben mkapa.

Mpaka sasa Prof Muhongo amedhihirisha kua na sifa hizi kwa kias kikubwa.I know this may seem to be an awkward opinion, but this is a hard truth.

Nashauli vyombo vyetu vya kiusalama vichukue ushauli huu kwani naamini the first and last vetting of a coming president is done by them(TISS).

Nawakilisha
Maoni yako naweza kudiriki kuyaita ni ya 'kipuuzi' kabisa.

Unawezaje kusema kuwa TISS ndiyo the first and last, kufanya vetting ya the next President of the year 2015(hapo bila shaka ukimaanisha miongoni ya wagombea wa CCM wanaotaka kupeperusha bendera ya chama chao)

Kwa mazingira hayo tutawezaje kujiita tuko kwenye mfumo wa multipartism, iwapo chombo nyeti, kama usalama wa Taifa, kinawafanyia vetting wagombea urais wa CCM pekee?!

Hivi tunavyokuwa wananchi tumeamua kulibadilisha jina chombo hicho toka Usalama wa Taifa na kuwa Usalama wa watawala wa CCM, tutakuwa tumekosea kweli?
 
nakubaliana na mtazamo wako.....muhongo ni jasiri......anatufaa kuiongoza nchi yetu......wezi wote kwa mgongo wa uzalendo...aka mengi na wenzake watatafuta mlango wa kupitia...
 
Maoni yako naweza kudiriki kuyaita ni ya 'kipuuzi' kabisa.

Unawezaje kusema kuwa TISS ndiyo the first and last, kufanya vetting ya the next President of the year 2015(hapo bila shaka ukimaanisha miongoni ya wagombea wa CCM wanaotaka kupeperusha bendera ya chama chao)

Kwa mazingira hayo tutawezaje kujiita tuko kwenye mfumo wa multipartism, iwapo chombo nyeti, kama usalama wa Taifa, kinawafanyia vetting wagombea urais wa CCM pekee?!

Hivi tunavyokuwa wananchi tumeamua kulibadilisha jina chombo hicho toka Usalama wa Taifa na kuwa Usalama wa watawala wa CCM, tutakuwa tumekosea kweli?
Haijakosea, urais unapatikana kwa vetting na sio kwa voting!.

Merry X-Mass

Pasco
 
Nchi yetu ilipofika inahitaji raisi jasiri, mwenye msimamo, asiye yumbishwa na wana siasa, wafadhili na wafanya biashara kwenye mambo yenye maslahi mapana kwa taifa.

Pia tunahitaji raisi mwenye uwezo binafsi wa kuchambua na kufanya maamuzi based on logical thinking. MTU ambaye atakaye jiamini na mwenye kua tiari kushindanisha mawazo tofauti kisayansi/kisomi na kamwe si kisiasa.

Pia awe MTU mwenye udikteta kiasi angalau kias cha Ben mkapa.

Mpaka sasa Prof Muhongo amedhihirisha kua na sifa hizi kwa kias kikubwa.I know this may seem to be an awkward opinion, but this is a hard truth.

Nashauli vyombo vyetu vya kiusalama vichukue ushauli huu kwani naamini the first and last vetting of a coming president is done by them(TISS).

Nawakilisha

kama kuna kosa linaweza kufanywa na nchi hii ni kufikiria kumpa mtu huyu urais, iv kuwadharau wa TZ ndio kutoyumbishwa kupenda sifa ndio kuwa jasiri? huyu afai hata ukatibu kata akashike chaki afundishe, kuna issue ya uuzwaji vitalu vya gesi TRA Walikuwa wanafatilia ili waweze kutoza kodi ZITTO akaiongelea bungeni kuwa vile vitalu vingeachwa kwanza kuuzwa ili tuone kwanza vitalu ambavyo vimeshagawiwa vinaleta majibu yapi, lakini hata ZITTO BAADAE alikuja kugundua kuwa tayari vilishatolewa, MUHONGO ALIPINGA SUALA HILO BUNGENI KWA KUMKEJELI ZITTO na wote waliochangia huku akishangiliwa na wabunge wa CCM alimdharau sana ZITTO na kumwambia yeye hafanyi blabla,

MAKINDA akasema haya sasa mmekutana na msomi anayejua kazi mtaipata, Bunge likaisha yale aliyoyasema ZITTO bungeni MUHONGO akagundua kuwa ni kweli na kwa jinsi ilivyokuwa akashindwa kumfata ZITTO akamtuma naibu wake wakati huo SIMBACHAWENE akamuulize ZITTO kuhusu hilo suala, ZITTO alitaka kusita kumweleza LAKINI GEORGE alisisitiza mpaka ZITTO akamweleza NAKUMBUKA ZITTO aliandika makala kuhusu hiii ISUE tangu wakati huo sijawahi kumwmini mtu huyu MTU ALIYE TAYARI KUTUMIA UONGO ILIMRADI TU AONEKANE AMESHINDA alafu baadae ndio anatafuta ukweli, huyu ni hatari
 
Nchi yetu ilipofika inahitaji raisi jasiri, mwenye msimamo, asiye yumbishwa na wana siasa, wafadhili na wafanya biashara kwenye mambo yenye maslahi mapana kwa taifa.

Pia tunahitaji raisi mwenye uwezo binafsi wa kuchambua na kufanya maamuzi based on logical thinking. MTU ambaye atakaye jiamini na mwenye kua tiari kushindanisha mawazo tofauti kisayansi/kisomi na kamwe si kisiasa.

Pia awe MTU mwenye udikteta kiasi angalau kias cha Ben mkapa.

Mpaka sasa Prof Muhongo amedhihirisha kua na sifa hizi kwa kias kikubwa.I know this may seem to be an awkward opinion, but this is a hard truth.

Nashauli vyombo vyetu vya kiusalama vichukue ushauli huu kwani naamini the first and last vetting of a coming president is done by them(TISS).

Nawakilisha

Bangi ina raha yake. inaonaje tumpe singasinga mwenyewe kabisa ?
 
Back
Top Bottom